Sheikh apigwa miaka 5 baada ya kuua nguruwe

Huo ni ujinga, kwani wanaokula Nguruwe Rwanda huwa wanamla akiwa hai? Sasa shida nini? Hii habari itakuwa uzushi mtupu!
 
Hekima na busara ndivyo vilivyotuwezesha sisi tusome kwenye shule za Ruthelan na hali ya kuwa ni waislamu na tukafika hapa leo...waislamu wengi wanaohisi kuwa wao wana imani kali wengi wao hukosa hekima na busara mwisho wao huishia shimo la tewa
 
Ikawaje mkuu huyo dereva alikuelewa baada ya hapo?
 
Ikawaje mkuu huyo dereva alikuelewa baada ya hapo?
Coz pesa alikuwa anazitamani alileta material lakini Kila alipopima maneno yangu na the way nilikua serious mpk leo anaishia kunipa salamu za aibu tu na project yangu inaendelea vizuri tu. Kunawatu washenzi sana yaan wanafikiri wanachikiamini wao watu wote waamini hivyo. Kama unaamini ukristo amini ila usilazimishe waislamu waamini mkristo anavyoamini na vice versa is true.
 
Mungu yupi?
Bongo ingekuwa hivi wajinga wangeongezeka maradufu kuliko wajinga waliotapakaa hivi sasa. hizi dini zimefanya binadamu wamekuwa wajinga sana hawataki kabisa kutumia akili zao alizowapa Mungu.

Religion is Mankind op
 
Kenge kweli wewe sasa kwanini uwahusishe wenzio na dhambi zako? Tafuta mgalatia mwenzio mpe tenda ya kuleta hizo materials zako
 
Lengo lake lilikuwa kutaka kuleta vurugu baina ya waisilamu na wakiristu akashitukiwa.
 
Safi sana Mahakama ya Rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…