luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Jinga kabisa ilooo tena nchinyenyewe ninRwanda ..ambapo wamepiga marufuku mpaka zile azana ..imagineBila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe
Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya baada ya kumuona nguruwe huyo maeneo ya msikitini katika wilaya ya kayonza mashariki ya Rwanda.
Wakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.
Chanzo cha habari hii ni nini? Au unatunga uwongo kumchonganisha watu ili ufurahi?
Walimpeleka wapi baada ya kumuuaWakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.
Kwani kunisafirishia material ya ujenzi ndio nakusababishia upate dhambi. Nisiseme mengi ila Imani imewajaa watu vibaya.Kenge kweli wewe sasa kwanini uwahusishe wenzio na dhambi zako? Tafuta mgalatia mwenzio mpe tenda ya kuleta hizo materials zako
Bila Shaka unajua pia kengele makanisani Ni marufuku.Jinga kabisa ilooo tena nchinyenyewe ninRwanda ..ambapo wamepiga marufuku mpaka zile azana ..imagine
Pole sana ndg kitimoto kwa kudhulumiwa haki ya kuishi huko Rwanda. Bila shaka wadau walikosa fursa ya ku-enjoy ile minofu yako maridhawa.Safi sana Mahakama ya Rwanda.
Mikoani ndio wapi huko?!Watu wakutoka mikoani mna shida kubwa
Oooooh! Mtumishi unataka vita na wajahidinaNatamani na bongo ingekua hivi.
Nguruwe hauliwi bali anachinjwa tena sio kwa kupigwa mitama kama machinjioni huko wanavyofanyiwa Ng'ombeHuo ni ujinga, kwani wanaokula Nguruwe Rwanda huwa wanamla akiwa hai? Sasa shida nini? Hii habari itakuwa uzushi mtupu!
Walimla mbogaWalimpeleka wapi baada ya kumuua
Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe
Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya baada ya kumuona nguruwe huyo maeneo ya msikitini katika wilaya ya kayonza mashariki ya Rwanda.
Wakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.
M!hakama ilitoa hukumu Sijajua ground ni kuwa amefanya ukatili wa mnyama au amefanya hujuma kwenye mali ya mtu.kwa sababu hapo mwenye nguruwe amepata hasara.kwa nini hakufidiwa mwenye nguruwe wakeBila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe
Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya baada ya kumuona nguruwe huyo maeneo ya msikitini katika wilaya ya kayonza mashariki ya Rwanda.
Wakili amedai mteja wake alimuua nguruwe huyo bila kukusudia baada ya watoto kupiga kelele na yeye kutoka na fimbo.
Natamani na bongo ingekua hivi.
Kristo ni Yesu na wakristo ni wafuasi wa Yesu.Yesu mwenyewe hakuwa mkristo
kUJIBU SWALI AU HOJA YAKO, labda tuulizane, KITU GANI KIMESABABISHA YEYE KUMUUWA HUYO MNYAMA?Je angemua mbuzi kwa bahati mbaya angefungwa miaka mitano yote au angelipishwa fidia tu, kuna jambo jingine nyuma yake.
Huku Tz ni tofautiBila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.