Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi Quran imesema?Haki sawa kwa wote mkuu.
Wanao kinzana nani na nani ? hadithi zipo sahihi zenyew kukataza jambo hili ,hata hivyo enzi ya Mtume Muhammad(Peace and blessing of Allah be upon him) hata Maswahaba zake (Mwenyezi Mungu awe radhi nao) hawakuwahi kumtea mwanamke Ktk nafasi yeyote ile kubwa ya uongozi kama vile gavana kwa wakati huo ilikuwa ni nafasi kubwa Ktk dola ya Uislamu.Kitabu kisicho na shaka sasa hii shaka inatoka wapi maana naona pande mbili kinzani hapa.
Will two wrongs make a right?Ni sawa, kwani pombe ni haramu, uzizi, uchawi, uongo, wizi, nyamafu, lakini vinafanywa na watu wengi kuliko wasiofanya. Jambo la kuongoza mwanamke halijafikia kuwa haramu, bali katika nchi za kisekula ndio kabisa lipo sawa tu
Ipo Aya inasema Wanaume ni viongozi wa wanawake na hadithi sahihi zikisema haitakiwi mwanamke awe mtawala mkuu nikipata nafasi nitakuwekea nambari kwenye vyanzo vyote .Wapi Quran imesema?
Na haya si maneno ya sheikh, ni ya Uislam.Saudi Arabia mwanamke haruhusiwi kuendesha tu gari. Hata akienda sokoni analazimika kujifunika mpaka kuwa kama jini. Sembuse kuongoza nchi au kuongoza chochote kinachoongozeka.
Shehe yupo sahihi.
Kwahiyo nini mtazamo wako katika hili?Wanao kinzana nani na nani ? hadithi zipo sahihi zenyew kukataza jambo hili ,hata hivyo enzi ya Mtume Muhammad(Peace and blessing of Allah be upon him) hata Maswahaba zake (Mwenyezi Mungu awe radhi nao) hawakuwahi kumtea mwanamke Ktk nafasi yeyote ile kubwa ya uongozi kama vile gavana kwa wakati huo ilikuwa ni nafasi kubwa Ktk dola ya Uislamu.
Labda kwa wenzetu wazungu wanaoongozwa na taasisi ambako Rais hafanyi maamuzi mengi ya mwisho.
kwa Ubongo huu hawezi kusikilizaSikiliza hoja zake.
Umemsikiliza vizuri? Anaongelea nafasi ya juu kabisa ya uongozi... Hizi nyingine hana shida nazo.Kuna vitu vingine vinatia shaka Sana kuhusu afya ya akili ya mzungumzaji na ya washangiliaji wake mapopoma. Wakati anateuliwa mara mbili kuwa makamu WA raisi huyo shekhe 'mufilisi' alikuwa haoni au hasikii au hajui utaratibu WA katiba umekaaje likitokea la kutokea?!!!!!! Alisema nn?!!!!!
Hilo moja, pili kwahiyo mnatakaje sasa maana ni mwaka sasa mama anaongoza na anaendelea kuchanja mbuga tu.....leteni basi jina la mtu anayefaa au pindueni mchukue nyie; acheni kung'orang'ora huko jikoni mnatupigia Keller!
Kumpinga Mama kwenye kila thread haitakusaidia lolote sababu hakuna wa kumtoa hata 2025 CCM watashinda election kama 2020 jinsi CCM alivyoshinda (everybody knew nini kilitokea)my advice tafuta kazi ya kufanya uingize kipatoSikiliza mwenyewe.
Kuna ile picha tulipewa mwongozo yahusu usukani washikiliwa na mkono kwingine.Sikiliza mwenyewe.