Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

Umemsikiliza vizuri? Anaongelea nafasi ya juu kabisa ya uongozi... Hizi nyingine hana shida nazo.

Pili; huo siyo msimamo wake wala maneno yake, ananukuu maandiko Matakatifu ya Quran.

Tatu; huu mwaka tunaongozwa ama tunapotezwa?
Jibu swali! Wakati anayeuliwa kuwa mgombea mwenza HAMKUELEWA MAANA YAKE just in case? Mlitakiwa kupinga tangu kipindi hicho. Kwa sasa mtulie na vumilieni tu sindano iwaingie vizuri!!! Muache kupiga kelele
 
Kama hamuwezi kuongozwa na Mwanamke basi hameni nchi, tafuteni nchi inayoongozwa na Mwanaume tena Muislam maana mwisho wa siku mtasema haifai Muislam kuongozwa na Khafir...

Mungu anisamehe ila nahisi ndugu zetu kuna mahala panashida kidogo.
 
HUYO shehe katumwa a test mitambo!!nadhani taarifa tumeipata Sasa utekelezaji uanze maramoja!!!MSIFIKIRI KAKURUPUKA WENYE NCHI YAO WAMEMTUMA NA UJUMBE UMEFIKA!!!
 
Usichanganye mambo.
Uongozi unao zingumza Biblia ni wa mambo ya kiroho na sio ya kimwili haya kama serikali vikoba n.k. Na sababu za hayo sio uwezo au maumbile ya hedhi n.k. Bali ni kuonyesa kuto pinduliwa kwa mfumo wa dunia kuliko fanywa edeni kwa influence ya Shetani.
Kifupi uongozi unao zungumzwa ni katikati ya kusanyiko la watu wa Mungu yaani kanisa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Wewe umepindishaaa, umeongea meengi sana lakin biblia imenyooka kabisa kuwa mwanamke hapaswi kumwongoza mwanaume. Hayo mengine wewe sijui eyatoa wapi.
 
Kutajwa tu tayari ni kiongozi?

Unasema Aisha alipewa aya na mtume kweli, kiongozi wake alikywa mtume( mwanaume.

) Qur'an haijazuia mwanamke kuwa kiongozi bali awea chini ya mwanaume.
Hata biblia vilevile hakuna Askofu, Padri au Mchungaji wa kike.

Hawa unaowana wachungaji wa kike kama Zumarid , Lwakatale wanatimiza tu unabii maana ndo wapotoshaji.

Mwanaume ni kichwa cha familia
Muislamu wa kwanza,wakati wa Mtume Muhammad(Rehema na Amani ziwe juu Yake)ni Mwanamke Bi Khadija.Bi Khadija(Mwanamke),ndiye aliyemuongoza Mtume Muhammad(Rehema na Amani ziwe juu Yake),Yeye Mtume Muhammad(Rehema na Amani ziwe juu Yake),alipotokewa na Jibril,kumfikishia ujumbe,Mtume hakujuwa lolote ,mpaka alipomuelezea Bi Khadija,na Bi Khadija ndiye aliyemwambia kuwa huyo ni Jibril,na ndiye aliyewatokea Mitume wengi,na kuwaelezea kuhusu mambo ya dini.

Bi Khadija(Mwanamke),ndiye alimuongoza Mtume(Rehema na Amani ziwe juu Yake),Kwenda kwa mwanachuoni,aliyesoma Injili,ili amfafanulie kuhusu sifa za Mtume,atakayekuja baada ya Nabii Issa
(A.S).Na Mtume akakubali kuogozwa na mawazo ya Mwanamke,kwenda kwa huyo mwanachuoni wa Injili,na akaelezewa sifa za Mtume atakayekuja,baada ya Nabii Issa,na Mtume akakubaliana na maneno hayo.

Na kabla ya hapo,Mtume Muhammad(Rehema na Amani ziwe juu Yake),alikuwa akifanyakazi yakuajiriwa na Bi Khadija(Mwanamke),akiwa ndio kiongozi wake wa kazi,na hakulipinga hilo.

Nani aliye Muislamu,atapinga historia,ya Bi Khadija,ya kuwa Mtume,alifanyakazi chini yake,akiwa ni mwajiriwa,kabla ya kumuoa na kuwa mkewe.

Na nani atapinga kuwa Bi Khadija,(Mwanamke),ndio Muislamu wa kwanza,na ndiye vile vile wa kwanza,kumuuelekeza Mtume,kuhusu Jibril,na kumuingoza kuwa yeye ndio Mtume.

Tukija katika,Muislamu wa kwanza,kuuliwa katika uislamu,kutokana uislamu wake,ni Bi Summaya(Mwanamke),huyu aliteswa na kuuliwa,na hakuacha uislamu wake.

Nani kama Bi Khadija(Radhi za Allah,ziwe juu Yake).Mpaka Mtume anafariki,anamtaja Mwanamke huyu,jinsi alivyomuongoza katika uislamu.

Achana na hadithi,zilizoingizwa katika uislamu za israiliat,kupotosha maneno ya Mtume.Soma somo la "Ilimu l khadith",uwelewe hadithi sahihi na zisizosahihii.
 
Back
Top Bottom