Sheikh Firdaus Sharifu aanza kutoa mafuta ya Upako

Status
Not open for further replies.
Wacha uongo wewe.

Kumbe hata huelewi neno "marashi" limetokea wapi.
Hayo ni maji ya marashi (manukato).

Yanaitwa marashi kwa kuwa hivyo afanyavyo ni anarashia rashia kama mvua ya rasharasha.

Hujawahi kwenda shughuli za Waislam?

Kama ulikuwa huelewi, shughuli za Waislam zinanukia manukato mazuri mazuri. Ndiyo hayo.

Imani ni unadhifu.
 
Umemruka jamaa na marashi ya upako sio.
 
Bibi yangu nikupendaye salamalekh
 
Upako huo shehe
 
Tapeli tu kama tapeli wengine hakuna Uislamu wa namna hii
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…