Sheikh Firdaus Sharifu aanza kutoa mafuta ya Upako

Sheikh Firdaus Sharifu aanza kutoa mafuta ya Upako

Status
Not open for further replies.
Waislam sio wajinga kiasi hicho. Masheikh wakisikia watampa mawaidha aache utapeli wake. Tofauti na Wakristo
Masheikh gani ,wakati anafanya huo utapeli msikitini, na juzi tulikuwa nae Sinza, akiwa na kina mazinge,kinyogori ,Shaffih ,au nikuletee video?
 
Hayo siyo mafuta, ni marashi.
Ni mafuta ,acha ujinga, huyo tulikuwa nae juzi Sinza kwenye muhadhara na anafanya hivo Hadi misikitini , ukitaka nakuletea video ,na sasa hivi machawa wake ni kina mazinge ,kinyogori, Shaffih ,

Kundi lao wapo na kina Sule
 
Kama mnavyo jionea kwenye hii video waumini wa dini ya kiislamu wakimwagiwa mafuta ya upako toka kwa Allah. Kama nakuona ndugu yangu Ritz na FaizaFoxy bila kuwasahau Malaria 2 , THE BIG SHOW na mzee wangu Mohamed Said mnavyo furahia neema hii toka kwa Allah.

Maustaadhi na mashekhe wameona huu ujinga wenzao upande wa pili
wanashusha tu maghorofa kwa kufanya biashara zisizolipa kodi na zenye wateja wa kudumu wasiolalamika Ubora wa bidhaa

Wameona wenzao wanaendesha magar ya gharama wengine had wanatoka congo kuja kuja kupiga pesa wameona isiwe kesi..
 
Anaitwa sheikh Firdaus Sharifu

Hapo akitoa upako wa Allah kwa waumini wa kislamu na kufanya maombezi ya kufunguliwa......

Ukija hapa ukasema si sheikh basi ni juu yako. Sisi tulitambulishwa na umoja wa wahadhiri wa waislamu Tanzania kuwa ni shekhe na akapewa nafasi ya kuomba dua katika mkutano wa muhadhara wa Sinza kwa upande wa Waislamu. Na vyombo vyake vya habari vilitumika pia kurushia mdahalo huku yeye akipewa heshima kubwa mbele ya Waislamu. Na ukiangalia video za mkutano utamwona akiwa amevalia sawa na hapo katika clip akimwaga pesa kwa wahadhiri wa kislamu, yaani Shafii, Mazinge na Kinyogori nk......hawa wote wanamponda Sule sana anapofanya mambo kama haya ila mbele ya Sharifu huyu, walibeba hela.

Uislamuni kumechangamka
 
Kumechangamka

Tulishampata Mwamposa wa Kiislamu, ngoma ni draw sasa......

Sheikh Firdaus Sharif anatoa wito wa kukanyaga mafuta yenye zaidi ya upako, mafuta ya ukombozi, mafuta ya kuondoa uchawi na majini na tego. Ni mwendo wa kuyakanyaga tu. Firdaus anauitaga ni upako wa Allah na mtume wake. Mimi ni ripota tu, msinishike shati.

Najua mtamkataa, lakini ndio ukweli ambao sasa unakuwa wazi baada ya kufanyika muda mrefu kwa siri.

Nashindwa kupandisha video hapa mujionee
 
wee mshkaji mnafiki kishenzi.

kumbe makanisa yenu yawauza mafuta tukiyasema inawauma sana ee😁😁😁

poleni sana
Sina kanisa linalouza mafuta ya upako
Fuatilia makala zangu nyingi kuyahusu hayo makanisa
 
Awma Mfumo Wa mzungu sio wa wakristo sema sababu wakristo wamerithi huo mfymo kwa kuwa westeen ndio waliouleta ukrisro africa.. ila waislam nao wameanza kucopy wanavalishana pete na harusi haIishii nyumban wanakod na ukumbi

Zaman harusi Ilikuwa inatoka
Kwa bb harusi inahamia nyumbani Kwa bwana harusi.. siku hiz inatoka kwa bb harusi inapangiwa ukumbi.

kutoka hapo itifaki zinazofata ni western culture mixer arab culture
 
Huu ni mwaka wao

Ustadhi Shafii aliongoza kampeni ya kumpinga Mwamposa na Dr. Sule sababu ya shughuli zao za uponyaji wa kutumia zana kama mafuta nk

Sasa nilichokiona kwenye mdahalo tulioandaa mimi na Francis Ndacha pale Sinza darajani, ni Shafii kutozwa pesa na sheikh Firdaus Sharifu akiwa anatoa hoja jukwaani, na baada ya hapo akiwa anawapa pesa za kujikimu baada ya mkutano. Sheikh Firdaus Shairifu hana tofauti na dr. Sule katika eneo hilo la kuagua. Nikawaza si huyu huyu Shafii ndio alikuwa anaponda mambo haya kiasi cha kutuambia akiwa na Mazinge eti kwanini mnafanya mdahalo na mganga wakimaanisha Sule. Ila na wao wanapokea pesa za mnganga Firdaus, na niliposhangaa zaidi ni Dr. Sule alipokuja katika mkutano kama mtazamaji, naye akawachangia pesa na wakachukua. Yaani unaponda uganga halafu tena unakula pesa za mnganga, huu si unafiki kweli?

Haya sasa, naye kaibuka kutetea anapokula naam akitetea mafuta akiyapa jina lilelile ambao wakristo wanatumia yaani "upako" kama sheikh wake naam tajiri yake wa kiganga anavyotumia kuyaita. Kweli usicheze na mpunga.

Kweli Uislamuni mwaka huu kumechangamka......

Na Jeff Massawe

Screenshot_20241015-222050_1.jpg
 
Jamaa jinga kweli .......limemwaga korie kabisa ileee
 
Maustaadhi na mashekhe wameona huu ujinga wenzao upande wa pili
wanashusha tu maghorofa kwa kufanya biashara zisizolipa kodi na zenye wateja wa kudumu wasiolalamika Ubora wa bidhaa

Wameona wenzao wanaendesha magar ya gharama wengine had wanatoka congo kuja kuja kupiga pesa wameona isiwe kesi..
Hahahaaa
 
Bila kupepesa macho huyu ni mshenzi na mtafutaji kama wahuni wengine wale wanaojiita manabii

Sheikh Mazinge kuna haja ya kutafuta KAZI nyingine ya kufanya miaka Ile ya nyumba alimuibua Mtoto aliyejiita Sharifu na akafanya mambo mengi ya kusadikika na tiba. Watu wengi walimuamini akapiga fedha nyingi na sasa huyu naye anamleta
 
Huu ni mwaka wao

Ustadhi Shafii aliongoza kampeni ya kumpinga Mwamposa na Dr. Sule sababu ya shughuli zao za uponyaji wa kutumia zana kama mafuta nk

Sasa nilichokiona kwenye mdahalo tulioandaa mimi na Francis Ndacha pale Sinza darajani, ni Shafii kutozwa pesa na sheikh Firdaus Sharifu akiwa anatoa hoja jukwaani, na baada ya hapo akiwa anawapa pesa za kujikimu baada ya mkutano. Sheikh Firdaus Shairifu hana tofauti na dr. Sule katika eneo hilo la kuagua. Nikawaza si huyu huyu Shafii ndio alikuwa anaponda mambo haya kiasi cha kutuambia akiwa na Mazinge eti kwanini mnafanya mdahalo na mganga wakimaanisha Sule. Ila na wao wanapokea pesa za mnganga Firdaus, na niliposhangaa zaidi ni Dr. Sule alipokuja katika mkutano kama mtazamaji, naye akawachangia pesa na wakachukua. Yaani unaponda uganga halafu tena unakula pesa za mnganga, huu si unafiki kweli?

Haya sasa, naye kaibuka kutetea anapokula naam akitetea mafuta akiyapa jina lilelile ambao wakristo wanatumia yaani "upako" kama sheikh wake naam tajiri yake wa kiganga anavyotumia kuyaita. Kweli usicheze na mpunga.

Kweli Uislamuni mwaka huu kumechangamka......

Na Jeff Massawe

View attachment 3125978
Hahahaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom