Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Hawajaanza leo. Wamewaiga kina mwamposa kitambo.Kama mnavyo jionea kwenye hii video waumini wa dini ya kiislamu wakimwagiwa mafuta ya upako toka kwa Allah. Kama nakuona ndugu yangu Ritz na FaizaFoxy bila kuwasahau Malaria 2 , THE BIG SHOW na mzee wangu Mohamed Said mnavyo furahia neema hii toka kwa Allah.
Niliwahi hudhuria kongomano moja pale sabasaba mwaka 2013 nilishuhudia aibu tupu isiomithilika na kuvumilika. Ni mwendo wa kipunga mapepo tu.
Binafsi ni muislsmu ila nina mwaka wa 5 sijawahi nusa kwenye nyumba insitwa msikitini. Noliacha kabisa keenda msikitini basda ya ustadh mkoja kutoa mawaidha ya kitoto siku ya ijumaaa. Vile nsikiti huo huo ilikuwa ni memberi ya vijembe kugombea madaraka na rasilikali za wakfu. Huko ni kwa wabena, aisee nilitoroka huo msikiti mpaka leo. Msikiui wangu mimi ni kazi kusoma vitabu na kuangalia mpira, documentary nk. Siwezi endelea kwenda kusikiliza ujinga wa maustadh njaa. Waislamu huwa hatutafakari na kupima mambo tunaenda enda tu.
Achana na hio kuna maji ya zam zam yapo kitambo sana. Waafrika ni wale wale usidhani wanatofauti.