HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
Hakika huyo sio wetuWatamkataa na kusema huyo ni mkristo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika huyo sio wetuWatamkataa na kusema huyo ni mkristo
ili kuvutia majini...No wonder mnaogopa kula kitimoto atafukuza majini... Takabill😁Wacha uongo wewe.
Kumbe hata huelewi neno "marashi" limetokea wapi.
Hayo ni maji ya marashi (manukato).
Yanaitwa marashi kwa kuwa hivyo afanyavyo ni anarashia rashia kama mvua ya rasharasha.
Hujawahi kwenda shughuli za Waislam?
Kama ulikuwa huelewi, shughuli za Waislam zinanukia manukato mazuri mazuri. Ndiyo hayo.
Imani ni unadhifu.
Waislam sio wajinga kiasi hicho. Masheikh wakisikia watampa mawaidha aache utapeli wake. Tofauti na WakristoNi wakati wake sasa na yeye kujiita Sheikh Firdaus Sharifu Boniface Mwamposa! Ili apige vizuri hela za wajinga.
Asisahau pia kuuza udongo wa kutoka Makka na Madina kule Saudia, mafuta ya ngamia, udi, na tende halua halua zenye upako, nk.
wee mshkaji mnafiki kishenzi.Ngoja nikachekee chooni
HahahaaHuu utapeli hauwezi kuja kuisha kamwe 🤣
Kiakili na kisheria huwezi kumuita mkristo, huyo ni mtu ambae anakufuru, anafanya shiriki. Moja ya mambo ambayo yanamtoa mtu kwenye aifa za uislam, moja ya sifa nguzo kuu ya uislam ni tawhid, kumpekesha mwenyezi mungu hana mshirika lakini, lakini pia kumuamini yeye kuwa kila jambo yeye ndio muhusika mkuu, sasa unapopaka mafuta ama kuvaa pete ukiamini hiyo inakupa bahati ni SHIRIKI, ni kukufuru, unatoka kwemye sifa za uislamuWatamkataa na kusema huyo ni mkristo
Hayo maji ya zam zam yana nini mkuu.?Hawajaanza leo. Wamewaiga kina mwamposa kitambo.
Niliwahi hudhuria kongomano moja pale sabasaba mwaka 2013 nilishuhudia aibu tupu isiomithilika na kuvumilika. Ni mwendo wa kipunga mapepo tu.
Binafsi ni muislsmu ila nina mwaka wa 5 sijawahi nusa kwenye nyumba insitwa msikitini. Noliacha kabisa keenda msikitini basda ya ustadh mkoja kutoa mawaidha ya kitoto siku ya ijumaaa. Vile nsikiti huo huo ilikuwa ni memberi ya vijembe kugombea madaraka na rasilikali za wakfu. Huko ni kwa wabena, aisee nilitoroka huo msikiti mpaka leo. Msikiui wangu mimi ni kazi kusoma vitabu na kuangalia mpira, documentary nk. Siwezi endelea kwenda kusikiliza ujinga wa maustadh njaa. Waislamu huwa hatutafakari na kupima mambo tunaenda enda tu.
Achana na hio kuna maji ya zam zam yapo kitambo sana. Waafrika ni wale wale usidhani wanatofauti.
Ndio tunaambiwaga yana baraka. Hao manibii feki huyatumia kuwauzia waumini waoHayo maji ya zam zam yana nini mkuu.?
Dooh. Noma sana.Ndio tunaambiwaga yana baraka. Hao manibii feki huyatumia kuwauzia waumini wao
Kuna kitu wengi hatuelewi. Wapotoshaji wapo ktk dini au Imani zote. Wewe ulifikiri wapo kwa wakristo tuu, pole sana.kwenye dini yetu huyu niwakuzaba makofi tuu.
akatapeli wakiristo huko mavi yake