Sheikh Firdaus Sharifu aanza kutoa mafuta ya Upako

Status
Not open for further replies.
Wameona wivu akina wapigaji mwamposa wanapata utajiri kwa staili hio na wao wameona waingie mazima [emoji23]
 
ili kuvutia majini...No wonder mnaogopa kula kitimoto atafukuza majini... Takabill😁
 
Ni wakati wake sasa na yeye kujiita Sheikh Firdaus Sharifu Boniface Mwamposa! Ili apige vizuri hela za wajinga.

Asisahau pia kuuza udongo wa kutoka Makka na Madina kule Saudia, mafuta ya ngamia, udi, na tende halua halua zenye upako, nk.
Waislam sio wajinga kiasi hicho. Masheikh wakisikia watampa mawaidha aache utapeli wake. Tofauti na Wakristo
 
wakiristo kumbe hii inshu ya wachungaji/matapeli wenu kuwauzia mafuta inawakera😁😁😁

leo shehe uchwara mmoja kawamwagia watu maji naona wakiristo wamefurahi kinoma wanaona kama tupo ngoma droo

niseme hivii huyojamaa nitapeli namuda siomrefu tutamshuhulikua aache utapeli maji na mafuta hayaponyi chochote anaeponya ni mungu pekee
 
Watamkataa na kusema huyo ni mkristo
Kiakili na kisheria huwezi kumuita mkristo, huyo ni mtu ambae anakufuru, anafanya shiriki. Moja ya mambo ambayo yanamtoa mtu kwenye aifa za uislam, moja ya sifa nguzo kuu ya uislam ni tawhid, kumpekesha mwenyezi mungu hana mshirika lakini, lakini pia kumuamini yeye kuwa kila jambo yeye ndio muhusika mkuu, sasa unapopaka mafuta ama kuvaa pete ukiamini hiyo inakupa bahati ni SHIRIKI, ni kukufuru, unatoka kwemye sifa za uislamu
 
Hivi ilikuwaje zamani watu wanzamia kwenye meli kwenda kusaka maisha ughaibuni, mbona pesa zipo hapahapa nje nje.
 
Hayo maji ya zam zam yana nini mkuu.?
 
Mfumo Kristo unatawala dunia na itachukua miaka mingi kuuvunja
Mavazi kwenye harusi
Mtindo wa sherehe kwenye ndoa
Mfumo wa mihadhara
Mfumo wa kwaya
Kutoa mapepo nknk
 
kwenye dini yetu huyu niwakuzaba makofi tuu.

akatapeli wakiristo huko mavi yake
Kuna kitu wengi hatuelewi. Wapotoshaji wapo ktk dini au Imani zote. Wewe ulifikiri wapo kwa wakristo tuu, pole sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…