kukumweupe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2020
- 439
- 599
Kutoka kwenye titteer ya Balozi Khamis Kagasheki ni kuwa huyu gwiji wa kutafsiri msaafu kwa lugha kadhaa za kimataifa ametangulia mbele ya haki.
Balozi ameandika "Nimepokea habari za kifo cha Sheikh Othman Matata kwa masikitiko mkubwa. Namuombea kwa Mwenyezimungu ampokee, amsamehe na amjaalie pepo. Hakika tumeondokewa na msomi aliyeifafanua dini yake kwa lugha mbali mbali za kimataifa. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun KSK_Balozi"