TANZIA Sheikh Hamis Matata afariki dunia

TANZIA Sheikh Hamis Matata afariki dunia

Naon
a sasa Israeli anataka Kubalansi baada ya Kutuchukulia Wakristo Wawili sasa
amewachukua Waislamu Wawili nao pia.
Waislam viongozi wa din wameondoka wa tano mbaka sasa ingawa mi sio muislam,kuna mashehe wawili walipostiwa na mboni siwajui akaja kilemile,na huyo mjeshi wanadai naye ni ustadh na kisha huyu matata
 
Ninawaza tu huko m
agerezani wanakolala mchongoma watakua wanazikwa kama mbwa. Wale wa Unonio

tuliwaona kwa bahati.
Dar inaogopesha sana kwenye mazishi ya yule shehe kilemile watu kibao hawajui ni hatari zaidi waacha wajipakae corona
 
Dah! Mimi nimeanza kuishi kwa hofu kweli kweli! Maana safari za lazima wakati fulani haziniishi. Mungu aniepushie mbali hili janga.

Inshallah! 😷
Mask hapana kuacha unapotoka,hata Kama unayo chunga umbali wako na watu,,mikono kunawa muhimu
 
Pumzika kwa amani babu.

mama wawili
 
Innaa lillahi wainnaa ilaihi raajiuun
 
Jamani huyu mzee hakufa kwa corona alikuwa mgonjwa muda
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom