TANZIA Sheikh Hamis Matata afariki dunia

TANZIA Sheikh Hamis Matata afariki dunia

Waislam viongozi wa din wameondoka wa tano mbaka sasa ingawa mi sio muislam,kuna mashehe wawili walipostiwa na mboni siwajui akaja kilemile,na huyo mjeshi wanadai naye ni ustadh na kisha huyu matata

Kwahiyo mpaka sasa Matokeo kati ya Waislamu na Wakristo wa nchini Tanzania ni 5-2 Ndugu yangu au? Nifafanulie hili nijue.
 
Kutoka kwenye titteer ya Balozi Khamis Kagasheki ni kuwa huyu gwiji wa kutafsiri msaafu kwa lugha kadhaa za kimataifa ametangulia mbele ya haki.
Balozi ameandika "Nimepokea habari za kifo cha Sheikh Othman Matata kwa masikitiko mkubwa. Namuombea kwa Mwenyezimungu ampokee, amsamehe na amjaalie pepo. Hakika tumeondokewa na msomi aliyeifafanua dini yake kwa lugha mbali mbali za kimataifa. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun KSK_Balozi"

Sheikh Othman Matata (RIP) akionesha umahiri wake wa lugha

Inna li Llahi wa
Kutoka kwenye titteer ya Balozi Khamis Kagasheki ni kuwa huyu gwiji wa kutafsiri msaafu kwa lugha kadhaa za kimataifa ametangulia mbele ya haki.
Balozi ameandika "Nimepokea habari za kifo cha Sheikh Othman Matata kwa masikitiko mkubwa. Namuombea kwa Mwenyezimungu ampokee, amsamehe na amjaalie pepo. Hakika tumeondokewa na msomi aliyeifafanua dini yake kwa lugha mbali mbali za kimataifa. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun KSK_Balozi"
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
 
Hatukatai mdada ila wanaema ukiwa na complications za kiafya Corona anakua deadly finisher.Mungu ndie mjuzi wa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Corona.
Babu alikuwa anaumwa sana.
Mjukuu wake alikuwa anapost sana fb kuwa babu anaumwa sana.
Haihusiani kabisa na corona

mama wawili
 
Back
Top Bottom