Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani jamani! This is too much now! Nani sasa aliye salama kwa speed hii? RIP Sheikh!
Hilo tangazo watalicha!Wababe weshatangaza hivi Sasa Ni MARUFUKU KUTANGAZA MTU KAFA NA UGONJWA GANI....!!Ni siri sirini.
Still no rokudauni.
Na turipima mibeberu tumekuta ina kovidii.Lockdown.....Never! Hizo ni njama za Mabeberu!
Aliyefariki ni sheikh Othman Matata na siyo Khamis Matata, aliye tweet ni balozi Khamis Kagasheki.Kutoka kwenye titteer ya Balozi Khamis Kagasheki ni kuwa huyu gwiji wa kutafsiri msaafu kwa lugha kadhaa za kimataifa ametangulia mbele ya haki.
Balozi ameandika "Nimepokea habari za kifo cha Sheikh Othman Matata kwa masikitiko mkubwa. Namuombea kwa Mwenyezimungu ampokee, amsamehe na amjaalie pepo. Hakika tumeondokewa na msomi aliyeifafanua dini yake kwa lugha mbali mbali za kimataifa. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun KSK_Balozi"
aisee.. sasa utajuaje?... Usishangae baadhi ya id's humu zikianza kuwa silent. Hali ni mbaya mno.