TANZIA Sheikh Hamis Matata afariki dunia

TANZIA Sheikh Hamis Matata afariki dunia

Jamani jamani! This is too much now! Nani sasa aliye salama kwa speed hii? RIP Sheikh!

Wababe weshatoa maelekezo hivi sasa ni MARUFUKU KUTANGAZA MTU KAFA NA UGONJWA GANI....!!Ukitangaza tu wewe ni BEBERU la Mbuzi na utachinjwa ugeuzwe thupu ya mbuthi! Hii inabakiwa kuwa siri sirini.
 
Hi
Wababe weshatangaza hivi Sasa Ni MARUFUKU KUTANGAZA MTU KAFA NA UGONJWA GANI....!!Ni siri sirini.
Hilo tangazo watalicha!

Hawataki tuhesabiwe siye kajamba nani!!

Chuma kinatwanga kotekote.
 
Kutoka kwenye titteer ya Balozi Khamis Kagasheki ni kuwa huyu gwiji wa kutafsiri msaafu kwa lugha kadhaa za kimataifa ametangulia mbele ya haki.
Balozi ameandika "Nimepokea habari za kifo cha Sheikh Othman Matata kwa masikitiko mkubwa. Namuombea kwa Mwenyezimungu ampokee, amsamehe na amjaalie pepo. Hakika tumeondokewa na msomi aliyeifafanua dini yake kwa lugha mbali mbali za kimataifa. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun KSK_Balozi"
Aliyefariki ni sheikh Othman Matata na siyo Khamis Matata, aliye tweet ni balozi Khamis Kagasheki.
 
Back
Top Bottom