TANZIA Sheikh Hamis Matata afariki dunia

kukumweupe

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2020
Posts
439
Reaction score
599
Kutoka kwenye titteer ya Balozi Khamis Kagasheki ni kuwa huyu gwiji wa kutafsiri msaafu kwa lugha kadhaa za kimataifa ametangulia mbele ya haki.
Balozi ameandika "Nimepokea habari za kifo cha Sheikh Othman Matata kwa masikitiko mkubwa. Namuombea kwa Mwenyezimungu ampokee, amsamehe na amjaalie pepo. Hakika tumeondokewa na msomi aliyeifafanua dini yake kwa lugha mbali mbali za kimataifa. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun KSK_Balozi"
 
Jamani jamani! This is too much now! Nani sasa aliye salama kwa speed hii? RIP Sheikh!
 

Naona sasa Israeli anataka Kubalansi baada ya Kutuchukulia Wakristo Wawili sasa amewachukua Waislamu Wawili nao pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…