momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Hatukatai mdada ila wanaema ukiwa na complications za kiafya Corona anakua deadly finisher.Mungu ndie mjuzi wa kila kitu.Jamani huyu mzee hakufa kwa corona alikuwa mgonjwa muda
Waislam viongozi wa din wameondoka wa tano mbaka sasa ingawa mi sio muislam,kuna mashehe wawili walipostiwa na mboni siwajui akaja kilemile,na huyo mjeshi wanadai naye ni ustadh na kisha huyu matata
Kutoka kwenye titteer ya Balozi Khamis Kagasheki ni kuwa huyu gwiji wa kutafsiri msaafu kwa lugha kadhaa za kimataifa ametangulia mbele ya haki.
Balozi ameandika "Nimepokea habari za kifo cha Sheikh Othman Matata kwa masikitiko mkubwa. Namuombea kwa Mwenyezimungu ampokee, amsamehe na amjaalie pepo. Hakika tumeondokewa na msomi aliyeifafanua dini yake kwa lugha mbali mbali za kimataifa. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun KSK_Balozi"
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.Kutoka kwenye titteer ya Balozi Khamis Kagasheki ni kuwa huyu gwiji wa kutafsiri msaafu kwa lugha kadhaa za kimataifa ametangulia mbele ya haki.
Balozi ameandika "Nimepokea habari za kifo cha Sheikh Othman Matata kwa masikitiko mkubwa. Namuombea kwa Mwenyezimungu ampokee, amsamehe na amjaalie pepo. Hakika tumeondokewa na msomi aliyeifafanua dini yake kwa lugha mbali mbali za kimataifa. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun KSK_Balozi"
Unafikiri kifo kinachagua kadi za chama?Mkinyamaza/Mkisema wembe uleule mkimbie msikimbie wembe uleule, muwatukane/ msiwatukane CHADEMA wembe uleule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulikuwepo.
Hakuna Corona.Hatukatai mdada ila wanaema ukiwa na complications za kiafya Corona anakua deadly finisher.Mungu ndie mjuzi wa kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app