TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

Sio sahihi sana kutumia maneno kupigania uhuru katika muktadha wa jinsi uhuru ulivyopatika Tanganyika kutoka Uingereza.
 
Sio sahihi sana kutumia maneno kupigania uhuru katika muktadha wa jinsi uhuru ulivyopatika Tanganyika kutoka Uingereza.
Unadhani ni maneno gani sahihi zaidi yangeweza kutumika badala ya "kupigania uhuru"?
 
RIP mwanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…