Nawe pia angalia matokeo ya form four na form six kati ya wanafunzi kumi bora utakuta jina la kiislamu wawili, wakristo wanane.
Kwani alikuwa akichochea nini hasa ??Jamaa aliachiwa nafasi sana katika kutoa mafundisho chochezi. Apumzike kwa amani ila ametuachia dhahama aisee.
Ponda na Ilunga ni watu muhimu sana kwenye dini inayopenda machafuko
Ponda na Ilunga ni watu muhimu sana kwenye dini inayopenda machafuko
Uhuru na Umoja,Na Mohamed Said pia. Hawa watu sio wa kuwaacha waendeleze kufundisha na kusambaza chuki mitandaoni. Hawa wanatakiwa wale shaba wamfuate mwenzao Ilunga
Osama was killed eventually ISIS risen, killing a person its never a solution. Ideology never dieNa Mohamed Said pia. Hawa watu sio wa kuwaacha waendeleze kufundisha na kusambaza chuki mitandaoni. Hawa wanatakiwa wale shaba wamfuate mwenzao Ilunga
Uhuru na Umoja,
Ni kosa la jinai kutishia mauaji.
Hakuna anaefundisha chuki maneno yako hayo yanaweza kukuhatarishia
maisha yako mwenyewe endapo hata nikifa kwa kugongwa na gari.
Vidole vya ndugu zangu vitaelekezwa kwako...
Huenda hata wasianze na wewe...
Chunga sana ulimi wako usije ukawaangamiza hata wasiohusika.
Haya yeshatokea.
Shekhe Mohamed usijidanganye kuna binadamu mkubwa kuliko Mungu. Uhai anatupa yeye na ndiye atakayeuchukua. Hakuna dini yoyote itakayofanikiwa kwa kutumia bunduki. Unajidanganya. Ipo siku utalitambua hiloUhuru na Umoja,
Ni kosa la jinai kutishia mauaji.
Hakuna anaefundisha chuki maneno yako hayo yanaweza kukuhatarishia
maisha yako mwenyewe endapo hata nikifa kwa kugongwa na gari.
Vidole vya ndugu zangu vitaelekezwa kwako...
Huenda hata wasianze na wewe...
Chunga sana ulimi wako usije ukawaangamiza hata wasiohusika.
Haya yeshatokea.
Endapo hiyo ndio sababu mbona hata ktk nchi za kiislamu bado wao kwa wao wanalipuana? Karibu dunia yote Uislamu unadai kuonewa na Jamii nyingine.Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli
Tangawizi,Shekhe Mohamed usijidanganye kuna binadamu mkubwa kuliko Mungu. Uhai anatupa yeye na ndiye atakayeuchukua. Hakuna dini yoyote itakayofanikiwa kwa kutumia bunduki. Unajidanganya. Ipo siku utalitambua hilo
Uhuru...Nimekuwekea yutube usikilize nini alichokiongea Ilunga na unachokiongea. Wewe huna nia nzuri na nchi hii.
Acha nikamatwe, nilichosema kwa amani ya nchi hii watu wa dizain yako na Ilunga sio wakuendelea kuwepo. Mnasamba za chuki.
Unajidanganya. Una lugha za kizushi kwamba waislamu wanaonewa na wako vitani. Wanapigana n.a. nani? Tanzania ni kubwa kuliko mimi n.a. wewe. Unachokitafuta hutakaa kuja kukipataTangawizi,
Wapi nimezungumza kuhusu bunduki.
Mimi naujua utukufu na ukubwa wa Allah na majina yake 99 ambayo
ndiyo sifa zake na jina lake kufanya 99.
Labda mwenye kujidanganya ni wewe unayezungumza kuhusu bunduki.
Mimi sijapatapo kuzungumza kuhusu bunduki narudia tena.
Kwa ajili hii sina utambuzi wa kutambua.
Mwenye kuhitaji utambuzi ni wewe.
Kitabu changu cha Abdul Sykes kipo huu mwaka wa 20 sasa kinasomwa
na kimekwenda matoleo manne Kiingereza na Kiswahili.
''Paper,'' zangu nilizotoa katika vyuo tofauti na makongamano kwingi zipo
na ukitaka naweza kukuwekea hapa.
Hakuna mahali nimezungumza bunduki.
Ningefanya hivyo dunia ingenipuuza na hata hapa JF nisingeingia na kupata
wasomaji wengi kiasi hiki nilionao.
Naamini umenielewa.
Tangawizi,Unajidanganya. Una lugha za kizushi kwamba waislamu wanaonewa na wako vitani. Wanapigana n.a. nani? Tanzania ni kubwa kuliko mimi n.a. wewe. Unachokitafuta hutakaa kuja kukipata
Ajidhaniyaye amesimama aangalie asianguke. Tanzania ni kubwa sana kuliko individualsTangawizi,
Mimi si mtu wa kujidanganya.
Mimi ni mtu wa ukweli.
Sijapatapo kuzungumza kuhusu vita katika maandiko yangu.
Kitabu changu kiimebadili historia nzima ya uhuru wa Tanganyika
na ukweli leo umejulikana nani aliasisi TANU na akina nani walikuwa
mstari wa mbele kupambana na ukoloni.
Aliyekuwa anajidanganya si mie.
Mie nimekuja na ukweli na katika huu nimekipata ninachokitafuta.
Hakika Tanzania ni kubwa kuliko matamanio yetu na ndiyo maana
baada ya zaidi ya nusu karne leo historia ya Tanzania imebadilika
na ukweli umejulikana.
Jina la Abdulwahid Sykes (1924-1968) katika historia ya uhuru wa Tanganyika kwa sasa halihitaji kuelezwa sana.
Historia yake imekuwa ni historia ya kusisimua unapomsoma kuhusu yale aliyofanya katika kuunda chama cha TANU 1954 akianza na kubadilisha mwelekeo wa TAA alipoingia katika uongozi wake 1950.
Historia ya Abdul Sykes pia ina masikitiko pale baada ya uhuru kupatikana mwaka wa 1961 juhudi za makusudi zilipofanywa kulifuta jina lake katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika na kwa hili si tu kuwa lilifutika jina lake peke yake bali na jina la mdogo wake Ally na la baba yao Kleist Sykes aliyekuwa muasisi wa African Association mwaka wa 1929.
Kulia: Ilyas Abdulwahid Sykes, Daisy Abdulwahid Sykes, Mwandishi akiwa ameshikilia Medali ya Mwenge wa Uhuru
Misky Abdulwahid Sykes na Kleist Abdulwahid Sykes
Ilichukua miaka 50 kwa Abdulwahid na mdogo wake Ally kutunukiwa medali ya ‘’Mwenge wa Uhuru,’’ kama utambuzi wa mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika wakiwa bega kwa bega na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere waliyemfahamu mwaka wa 1952.
Leo nimebahatika kuiona medali ya ''Mwenge wa Uhuru'' aliyotunukiwa Abdulwahid Sykes (post homous) na Rais Kikwete katika Viwanja vya Ikulu 9 Desemba, 2011 katika kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.
Kuishika medali hii kwa mikono yangu kwangu kilikuwa kitu kilichokuwa na nafasi ya pekee katika moyo wangu.
Medali ya mwenge wa Uhuru aliyotunukiwa Abdulwahid Sykes katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa
Tanganyika 2011
(Picha kwa hisani ya mjukuu wa Abdul Sykes Aisha Kleist Sykes)
Mwandishi akiwa Azam TV akifanya kipindi cha Saba Saba 2015
Tangawizi nakuunga mkono katika hilo wala sina shida na fikra hiyo.Ajidhaniyaye amesimama aangalie asianguke. Tanzania ni kubwa sana kuliko individuals
Tunapozungumzia Tanzania don't fool ourselves with the limitations. JK alikupa medal n.a. JPM je? My worry is to cause a commotion amangts ourselves. .that is a crimeTangawizi nakuunga mkono katika hilo wala shida na fikra hiyo.