Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

Kwanini wabambikiwe wao tu? Wakati kuna maelfu ya mashehe mbona hawajakamatwa?
 
Andiko la upako linasema.
Methali 26:4-13
Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.

Hallelujah.
Kumbe huwa unaisoma biblia😆😆😆 na mpaka unaijua hallelujah
 
Nendeni shuleni haya yote yatatoweka
 
Mzee Mohammed Said
Binafsi sikuona hayo mahojiano, lkn nimstushwa sana na wewe kukiri kuwa kuna maswali ulikwepa kujibu. Unaogopa nini katika Uzee wako huu?
 
Sasa hapo ndio mfumo Kristu au mfumo mbaya wa uongozi
 
Kwahiyo na wewe unajinasibisha na Waarabu sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini wabambikiwe wao tu? Wakati kuna maelfu ya mashehe mbona hawajakamatwa?
Swali lako ni sawa na mimi kuuliza "Kwanini Gwajima Ameweza kupotosha wengi na kupiga hela nyingi wakati wachungaji wengi sana wanaganga njaa mitaani?

Kabla hujachangia hoja fanya homework kidogo kuhusu hao tunaowajadili.
Ukidandia tu uzi utakikuta unapoteza muda wako na wa wasomaji humu.
 
We mgalatia acha kusema uongo japokuwa Ukiristo haujakataza Uongo.

Leta ushahidi hapa kuwa Sheikh wetu alisema wagalatia wauawe.
We mkubwa mzima huna aibu kusema uongo hata kwa marehemu?
Himar wahedi.
 
Nendeni shuleni haya yote yatatoweka
Mna...
Tatizo si kwenda shule ingekuwa tatizo ni hilo siku nyingi serikali wangetujibu kuwa Waislam pelekeni watoto shule ili wasome.

Tatizo hili hapo chini:

USIA WA MAREHEMU KITWANA SELEMANI KONDO KWA WATANZANIA

Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999​

''Lakini tuende kielimu.

Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine.

Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21.

Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe.

Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79.

Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.

Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.

Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha.

Mwalimu Nyerere alisema zamani ifanywe bidii ya kuwanyanyua waliokuwa chini.

bidii hii siyo ya kuwanyanyua waliokuwa chini.

Bidii hii ni ya kuwakandamiza waliokuwa chini.''

Yapo mengi lakini hebu tuanze na haya kwa sasa.


Mwandishi akimuhoji Kitwana Selemani Kondo nyumbani kwake Upanga 2012​
 
Mzee Mohammed Said
Binafsi sikuona hayo mahojiano, lkn nimstushwa sana na wewe kukiri kuwa kuna maswali ulikwepa kujibu. Unaogopa nini katika Uzee wako huu?
Dara...
Siogopi kitu.
Kila jambo lina mahali pake.

Nimeweka hapa majibu ya yale maswali post #427.
 
Nendeni shuleni haya yote yatatoweka
Wewe ulikwenda shule andiko lako linakana kuwa huna akili.
Wagalatia 3:1
Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga?
Andiko lako linadai HAMNA AKILI. halafu linauliza "NI NANI ALIYEWAROGA"?
Yaani uwezo wa kuwa na akili hamna tena kiasi kwamba BIBLIA inasema "MMEROGWA" ila haijui ni nani aliyewaroga.

Labda mmerogwa na Waislamu au Nimekosea?
 
Kumbe huwa unaisoma biblia😆😆😆 na mpaka unaijua hallelujah
Sisi waislamu tunaifahamu BIBLIA kuliko nyie manake SISI TUNASOMA KUELEWA sio kusoma mstari unaoambiwa usome na mchungaji.

We unasoma BIBLIA siku ukikosa kazi au siku akifa mtu. Au kwenye zile ibada zenu za weekend.
Mimi nimejifunza masomo hayo miaka 4 shuleni kabisaa nikiwa na mwalimu.

Na nimesoma shule ya kanisa vile vile.
Hunambii kitu kuhusu BIBLIA.
Kuna JUMLA ya BIBLIA 54 Duniani NA kila moja iko TOFAUTI na Ingine.

Kwa nyie waafrika BIBLIA iliosambazwa kwenu kwa wingi ni King James Version.
Lkn kuna Nchi nyingi hio King James ni MARUFUKU kusomeshwa mashuleni.

Njoo nikupe masomo ya BIBLIA YA BURE.
Lzm utaachana na Ibada ya Sanamu
 
Hizo ni siasa tu zilizovishwa koti la kidini na watu fulani ili kuvuna kura za upande huo .

Hakuna mfumo wowote hapa nchini zaidi ya mfumo Ccm.
 
Hizo ni siasa tu zilizovishwa koti la kidini na watu fulani ili kuvuna kura za upande huo .

Hakuna mfumo wowote hapa nchini zaidi ya mfumo Ccm.
Chunga kauli yako kijana
Waislamu hatuna upuuzi wa kutafuta kura kwa kuzusha uongo kama hao wanaoabudu weekend.

As matter fact Kura zetu zinaibiwa wazi kila mara na huo huo mfumo kristo.

Dawa ya ujinga ni kuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…