nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,976
- 1,181
Tupo na ndugu waisalamKuna MKRISTO anapenda waislamu?
Natajie mmoja unaemjua wewe.
Au utasema Gwajima.
🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo na ndugu waisalamKuna MKRISTO anapenda waislamu?
Natajie mmoja unaemjua wewe.
Au utasema Gwajima.
🤣🤣
Kwanini wabambikiwe wao tu? Wakati kuna maelfu ya mashehe mbona hawajakamatwa?Umeona ulivyojaza pumba kichwani na ulivyo mpuuzi usie na uwezo wa kuelewa hata swali dogo!
Hao wagalatia wote uliowataja UMETAJA NA MAKOSA YAO. Mmoja Mbakaji Na Mwengine Muuza Unga na WOTE HAO WALIHUKUMIWA NA MAHAKAMA.
Sasa Nambie wale Masheikh waliofungwa Mpk WAKAFA JELA mbali ya Kubambikiwa kesi za Ugaidi Lini walifIkishwq MAHAKAMANI na kutolewa USHAHIDI WA MAKOSA YAO?
Acha kutetea upumbavu.
In folly's dance, the fool takes the lead,
A jest of ignorance, planted as seed.
Clumsy steps, a wit that's lost,
Yet within the jest, a lesson, the cost.
Kumbe huwa unaisoma biblia😆😆😆 na mpaka unaijua hallelujahAndiko la upako linasema.
Methali 26:4-13
Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.
Hallelujah.
Nendeni shuleni haya yote yatatowekaTatizo nyie viumbe elmu ndio changamoto kubwa.
MFUMO KRISTO NI CANCER.
Hata ukiwa na madktari wengi kiasi gani inahitaji subira kubwa na matibabu ya muda mrefu sana kuiondoa hio CANCER au japo Kuipunguza.
Na Toka Kafa Yule maluuni nyerere mfumo kristo umepungua kiasi kikubwa lkn Bado umo . Sisi tuliouona miaka ya 70s na 80s uko tofauti kabisa la wa leo.
Kwahio utaondoka tu ila ni vita ya muda mrefu manake mpk baadhi ya wanaojiita waislamu wamo ktk kuuendeleza huo mfumo kristo bila kujitambua.
Hilo ndio tatizo kubwa lkn we tulia tu. mfumo KRISTO haina uhai mrefu.
Mzee Mohammed SaidMfalme...
Hapana haja ya kunitukana huu ni mjadala wewe unatoa hoja na mie nakujibu na wengine wanachangia mjadala unastawi na tija ya elimu mpya inapatikana na si lazima tukubaliane.
Kipi nilichoandika kinachokufanya wewe upoteze utulivu wa nafsi yako na uje hapa kwa ukali.
Mimi ningekuwa mjinga msingekuja hapa kujadiliana na mimi wala JF isingenichagua Mwandishi Bora Jukwaa la Historia kwa miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.
Ungeandika ukiwa huna ghadhabu akili yako ingetulia na kukuonyesha kuwa vitabu nilivyokujanavyo studio havikuwa vitabu nilivyoandika mimi.
Hili nimelieleza.
Hivyo ni vitabu vilivyoandikwa na waandishi tofauti lakini wote ni Wazanzibari.
Nimekwepa kujibu maswali yale kwa kuchelea fitna.
Hata hivyo nimeyajibu maswali yale hapa JF bahati mbaya labda hujayaona.
Nakuwekea hapa chini soma kwa utulivu:
KUTOKA JF MAPINDUZI DAY MORNING TRUMPET: YALE AMBAYO SIKUYASEMA
Nimekuwa nikishambuliwa kwa maneno makali nikilaumiwa kuwa nilikuwa nakwepa maswali niliyokuwa nikiulizwa mtangazaji wa AZAM TV kijana Kennedy.
Kweli nilikuwa nayakwepa baadhi ya maswali yake kwa kumtahadharisha kuwa historia ya Zanzibar si nyepesi kuelezeka kama anavyodhani.
SWALI: MAISHA BAADA YA MAPINDUZI
Jambo la kwanza katika mapinduzi ni damu iliyomwagika pasi na sababu wakati wa mapinduzi na baada ya mapinduzi.
Vigumu kwangu kujibu swali hilo kwa kueleza kuwa kwa mara ya kwanza baada ya mapinduzi Zanzibar ilijikuta ina jela za mateso na mauaji.
Haya yalikuwa mambo mapya kwa Wazanzibari.
Masultani walitawala lakini wameondoka hawana damu zinazotiririka katika vidole vyao.
Ningeweza pia kueleza kuhusu chaguzi sita zilizofanyika Zanzibar baada ya kurejeshwa vyama vingi na matatizo yanayogubika chaguzi hizi na damu zilizomwagika katika kila uchaguzi.
Ningeweza nikauliza kama marais wote waliotokana na chaguzi hizi kweli walishinda au walichukua uongozi kwa nguvu za silaha?
Ningeweza nikaeleza hayo na kuhutimisha kwa kuuliza wapi ulipo utukufu wa mapinduzi na uhalali wa serikali.
Si kila swali linajibiwa.
Nasikitika kuwa unanizulia uongo.
Neno kafiri si katika msamiati wangu niandikapo.
Sikuwapo maandamano ya Mwembechai nilikuwa nje ya nchi lakini ningelikuwapo Dar es Salaam ningeshiriki kama nilivyoshiriki maandamano ya kuwatoa masheikh rumande baada ya sakata la mabucha.
Nilishiriki maandamano ya NECTA na nimerekodi yote kw apicha na sauti kuanzia msikiti wa Kichangani hadi Kidongo Chekundu na Wizara ya Mambo ya Nje.
Kuhusu suala la ugaidi nimezungumza Chuo Kikuu Cha Ibadan, Nigeria katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu ugaidi.
Nakuwekea hapo chini link unisome:
ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT 8 th – 10 th FEBRUARY 2006 Venue University of Ibadan Conference Centre ...mohamedsaidsalum.blogspot.com
Sasa hapo ndio mfumo Kristu au mfumo mbaya wa uongoziHio mifano uliotoa ni kesi za kipuuzi na kila sehemu zipo.
Hapa tunaongelea System nzima ya haki za kikatiba kwa raia wa imani zote na wasio na dini.
Nimekuuliza je ! Uliwahi kusikia MKRISTO kawekwa jela Mpk ANAFIA JELA bila kufikishwa mahakamani?
Jibu ni HAKUNA.
Lkn WAISLAMU WENGI tena Waungwana wenye Elimu zao na Heshma zao wamabambikizwa KESI YA UGAIDI. Wamekaa Jela zaidi ya miaka 10 na wengine WAMEFIA JELA KWA MATESO.
Hio serikali inalitambua na Wananchi tunatambua.
We unaona hio ni sahih?
Why wagalatia na wengine wanapewa haki zao za kikatiba lkn WAISLAMU wasipewe?
Kama ni GAIDI kwanini asipelekwe mahakamani akahukumiwa kutokana na Ushahidi wa shaka lake?
Kwanini Serikali inalifungia macho suala la DHULMA HII?
WE Unadhani waislamu hawana Akili na uchungu wa kuona dhulma inayofanyika?
Mhalifu yyt awe Na dini au aside na dini HAKI YA KILA MMOJA YA MSINGI KIKATIBA ni KUFIKISHWA MAHAKAMANI.
Ukiona hio Haki WAISLAMU hawastahiki subiri nchi yetu ije kuwaka moto.
Kwahiyo na wewe unajinasibisha na Waarabu sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna waislamu zaidi ya Billion 2 dunia. Kwa mujibu wa muabudu sanamu kama wewe WOOTE HAO wanahubiri chuki na mauwaji. Cha kushangaza wewe npk sasa bado uko hai na unapishana na waislamu mitaani kila siku.
Na huenda aliekuajiri Muislamu.
Hizo chuki zenu zinawaathiri wenyewe. Ndio maana hata Mungu hakuweka Rasilimali nyingi kwenye nchi za waabudu sanamu manake mngetumaliza wote.
Ndio maana mnavamia na kuua kwenye nchi za waislamu ili kupora maliasili zao.
We tulia tu. Muda utaongea wenyewe mgalatia.
Unafikiri usheikh unagaiwa kama upadri?Ilunga alipata usheikh lini?
Swali lako ni sawa na mimi kuuliza "Kwanini Gwajima Ameweza kupotosha wengi na kupiga hela nyingi wakati wachungaji wengi sana wanaganga njaa mitaani?Kwanini wabambikiwe wao tu? Wakati kuna maelfu ya mashehe mbona hawajakamatwa?
Nani kajinasabisha na waarabu.Kwahiyo na wewe unajinasibisha na Waarabu sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
We mgalatia acha kusema uongo japokuwa Ukiristo haujakataza Uongo.Hivi huyu si yule mtu aliyekuwa akishawishi Waislamu waue Wakristo na anapewa sifa hizi? Huyu hakuwa Muislam wa kweli kwa sababu Uislam ni dini ya amani. Nawashangaa sana watu wanaomshabikia na hata kifo chake ni fimbo ya Allah kwake kumwonyesha wale uliokuwa ukielekeza wakauawe wamebaki wanamtumikia Mungu na yeye shehe wa kuchochea kuua akatangulia kufa na ataikoma jehanamu ya moto!!!!
Mna...Nendeni shuleni haya yote yatatoweka
Dara...Mzee Mohammed Said
Binafsi sikuona hayo mahojiano, lkn nimstushwa sana na wewe kukiri kuwa kuna maswali ulikwepa kujibu. Unaogopa nini katika Uzee wako huu?
Wewe ulikwenda shule andiko lako linakana kuwa huna akili.Nendeni shuleni haya yote yatatoweka
Tartiibu hatuna haraka, unafikiri ya leo ndiyo ya jana?Mna Rais Muisilamu,viongozi wakubwa wakubwa Waisilamu..sasa si muuondoe?,
Mzee Mohammed Said
Binafsi sikuona hayo mahojiano, lkn nimstushwa sana na wewe kukiri kuwa kuna maswali ulikwepa kujibu. Unaogopa nini katika Uzee wako huu?
Kijana anayejinasibisha na Waarabu ni mimi hapa, tatizo nini?Kwahiyo na wewe unajinasibisha na Waarabu sasa hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi waislamu tunaifahamu BIBLIA kuliko nyie manake SISI TUNASOMA KUELEWA sio kusoma mstari unaoambiwa usome na mchungaji.Kumbe huwa unaisoma biblia😆😆😆 na mpaka unaijua hallelujah
Hizo ni siasa tu zilizovishwa koti la kidini na watu fulani ili kuvuna kura za upande huo .Hivi huu unaoitwa mfumo kristo unamnufaisha mkristo yupi hasa? Mbona sijauona huku mtaani zaidi naona wote waislamu na wakristo wakitaabika pamoja?
Kama ni mashuleni wote wanakosa vitabu, mahospitalini wote wanakosa madawa, Umeme ukikatika hauchagui huyu mwislamu huyu mkristo, mvua zikinyesha Wote wanakumbwa na mafuriko n.k n.k..
Chunga kauli yako kijanaHizo ni siasa tu zilizovishwa koti la kidini na watu fulani ili kuvuna kura za upande huo .
Hakuna mfumo wowote hapa nchini zaidi ya mfumo Ccm.