Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

Chunga kauli yako kijana
Waislamu hatuna upuuzi wa kutafuta kura kwa kuzusha uongo kama hao wanaoabudu weekend.

As matter fact Kura zetu zinaibiwa wazi kila mara na huo huo mfumo kristo.

Dawa ya ujinga ni kuuliza.
Acha vichekesho wewe.

Kura 'zenu' zinazoibiwa ni zipi?....mnajuaje ni 'zenu' au zimetaja dini zenu ?
 
Siku ukiona mgalatia anae elewa na KUKUBALI hoja ya muislamu juu ya HAKI ujue tayari nuru ya dini ya Mungu imeanza kuingia kwenye nafsi yake.
Waliobaki wote hata km wanaona kuwa wao hawako sawa LZM WAKATAE.
Kupinga HAKI kuko ndani ya DNA ya yyt anaeabudu Sanamu.
 
Acha vichekesho wewe.

Kura 'zenu' zinazoibiwa ni zipi?....mnajuaje ni 'zenu' au zimetaja dini zenu ?
Mtu wa aina yako kukuewesha kipi kinaendelea kuhusu mfumo kristo hapa tutakesha.
Alishindwa kuwaelewesha Yesu mwenye kufanya miujiza je ntaweza mimi mnyamwezi wa Nzega?
 
Utakufa na stress kijana.Hakuna kitu inaitwa mfumo Kristu.Tatizo mnasoma Isalmic law na masomo mengine ya kiarabu halafu mnataka kuwa absorbed kwenye mfumo.Yaani nisome Canon law halafu niajiriwe kuwa hakimu,hell no!Ndo maana mnataka mahakama ya kadhi.Punguza.malalamiko na makasiriko.In short hakuna mfumo Kristo.Someni!
 
Kama ungejua unalotenda ungemshabikia mtu anayeagiza waumini waue watu wa DINI nyingine? Shehe ILUNGA alikuwa nyuma ya mauaji ya wakristo wote hapa nchini.
hayo ni mafundisho ya mtume na allah usishangae... mtume aliua watu kisa hawakumuamini kama yeye ni mtume
 
hayo ni mafundisho ya mtume na allah usishangae... mtume aliua watu kisa hawakumuamini kama yeye ni mtume
Unaropoka bila ushahidi.
Tulia uone ushahidi wa hicho ulichosema .
Bwana Yesu anasema ktk

LUKA 19:27

Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa MWACHINJE mbele yangu.

Na Akahimiza ktk MATHAYO 10:34 Kuwa
" Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali UPANGA. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake.

Na AKATOA AMRI kwa wafuasi wake wote kwenye
LUKA 22:36 Akawaambia,
" Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na UPANGA, na auze joho lake akanunue.

Kwahio KUUA KWA UPANGA NA KUCHINJANA tumefunzwa na BIBLIA .

Km wewe ni mfuasi wa BIBLIA lzm uwe UMESHANUNUA UPANGA kwa ajili ya KUUA.
 
haya nyerere hayupo miaka 25 iliyopita mbona hamjengi hivyo vyuo mmekuwa mnalalama tuu
 
Waislam ni hooiii mnakazania juzuu tu wengi hadi kikwete aliwachana msome muache kukazania kurani tu
 
Ona ngombe hii,pardi mmoja ni sawa na mashehe ubwabwa wa afrika mashariki yote.
Na kwa imani hii hii ulionayo juu ya hao mapadri ndio maana unauziwa mchanga wa mtoni na maji ya Azam ukidanganywa vimetoka kwa yesu na wewe unanunua kwa furaha kubwa ukiona umepata kumbe umepatikana.

Ujinga ni mzigo mkubwa sana
 
Nan...
Bahati mbaya umeifinga akili yako kwa hiyo huwezi kujifunza chochote kipya unaugua ugonjwa wa kuogopa ukweli.

Nimeeleza mara nyingi hapa kuwa tatizo si kuwa Waislam hawapeleki watoto kusoma bali kuna njama ndani ya serikali yetu inayoendeshwa na mawakala wa Kanisa ya kuwazuia Waislam wasipate elimu.

Angalia mfano huu wa watoto wa Kiislam waliopelekwa shule kusoma:

USIA WA MAREHEMU KITWANA SELEMANI KONDO KWA WATANZANIA​

Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania May 24, 2017 0
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999

''Lakini tuende kielimu.
Ninayo ripoti ya mwaka huu.

Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu.

Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21.

Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21.

Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu.

Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga.

Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha. Mwalimu Nyerere alisema zamani ifanywe bidii ya kuwanyanyua waliokuwa chini.

Sasa bidii hii siyo ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Bidii hii ni ya kuwakandamiza waliokuwa chini.''

Bunge lilikuwa kimya limejikunyata kwani haya hayakuwa yanaelezeka katika sheia zozote za utafiti wa takwimu.

Yapo mengi.
Unatuammbie tusome.

Unadhani Waislam watu wa kufunzwa umihumu wa elimu?
Mwaka wa 1968 Waislam wanajenga Chuo Kikuu.

Chuo kikahujumiwa na serikali yenyewe.

Ndiyo maana hapa mnakuja nyie kutujibu watu ambao mnanufaika na hii dhulma.

Waziri wa Elimu hakuwa na kinywa cha kuwaambia Waislam hawaleti watoto shule kusoma.


Mwandishi akimuhoji Kitwana Kondo nyumbani kwake Upanga 2012​
 
Teh teh teh.
Wagalatia viumbe wa ajabu sana.
Mahakama ya Qadhi inatuhusu sisi waislamu na haitowagusa nyie waabudu sanamu kwa namna yyt.
Mahakama hii inahusu masuala ya Ndoa na sheria za MIRATHI za waislamu inahusu masuala ya FAMILIA ZA KIISLAMU TU PEKE YAO . We kwa akili yako ilivyo ndogo ulidhani mahakama ya Qadhi itakuja kuwatairi wote wenye magovi KWA NGUVU. 🤣
Na wewe kutairiwa hutaki .
Kuwa na amani.
Pilipili ziko shamba la muislamu we muefeso kalio linaanza kuwasha.

Ajeeb kabisa.
 
haya nyerere hayupo miaka 25 iliyopita mbona hamjengi hivyo vyuo mmekuwa mnalalama tuu
Kuondoka kwa maluuni nyerere hakujaondoa mfumo kristo bali kumepunguza kidogo.
Mfumo kristo ni CANCER na inataka subra na dawa nyingi sana kuutibu au japo kuupunguza nguvu
Sasa we tulia tu.
Sisi ndio tunaoweza kupiga marufuku ndoa za jinsia moja hata km Vatican wamezikubali.
Sisi ndio tunaoweza kuzuia Dhulma kwa kina mama japo Biblia inapiga marufuku wanawake kuongea .
Bila Uislamu hii dunia ingekuwa hatari kuliko Sodoma na Gomora.
Sasa tulia dawa iingie.
We endelea kuabudu sanamu la mzungu na kuuziwa maji na michanga ya upako hatutokusemesha.
Tunapambana na Issue kubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri.
 
Ona ngombe hii,pardi mmoja ni sawa na mashehe ubwabwa wa afrika mashariki yote.
Mbuzi wewe, tukae hapa tuchambue hao mapadri na hizo elimu zao za shahada ya theologia tuone wanafiti wapi kwenye neno wasomi
Kusomea hizo pumba ndio leo hii mnaambiwa mpakuane maana sio tasnia inayoweza kuitwa ni elimu ya juu zaidi ya kusherehesha LGBTQ
 
Unafahamu siku hizi duniani vyuo vingi vinasomesha Common law pamoja na sharia (Islamic law)? Pia watu wa commerce wanasoma pamoja na (Islamic finance)?

Hutokuta wakisoma na "cannon law).

Unafahamu kuwa neno "cannon law" imetokana na "Kannuun" la kiarabu? Au kanuni kwa kwa Kiswahili?
 
Unautukuza uarabu hadi aibu.Hivi unatuonaje lakini?Nikisema neno kannuun limekuwa derived kutoka kwenye Kihebrania sitakuwa nimekosea.The term canon, from a Hebrew-Greek word meaning “cane” or “measuring rod,” passed into Christian usage to mean “norm” or “rule of faith.”
 
Wewe fanya uoendavyo, upo huru, mimi huwa sikisii. Tafuta kwenye mtandao tu, maana ya ndno cannon laws utapata jibu.

Kisha lilete hapa utusaidie na sisi kuelewa.
 
umeleta sababu za kilofa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…