kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Hebu ona orodha hii; said bakhresa, gulam na mohammed dewji, yusuph manji, Rostam aziz, Ali mufuruki, zakaria, edha awadh, hapo sijaweka wenye mabasi ya mikoani majina yake tu yanaonyesha dini gani inatawala, vituo vya mafuta, maduka makubwa kama home shopping center,....etc, yote waislamu wanaongoza. Hata hawa wa chini chini, mapedejee ndama, papaa msofe, abdu toll, hata kwenye mziki na sanaa wanaongoza diamond, wema sepetu etc,
Hawa waislamu wote wamepataje pataje kwenye mfumo kristo huu huu? Dr dau, prof Lipumba, rished bade wamesoma kwenye mfumo gani?
Muislamu anaonewa vipi wakati yeye ndio tajiri namba moja bongo?
Kama unayajua hayo! Na kuwa WAISLAMU NDIO WATOA AJIRA WA WAKRISTO WENGI HAPO NCHINI!
Mbona wewe na wagalatia wenzako mnakosa adabu ya kuwaheshimu watu wanaowapatia waenda kanisani na familia zao choo!??
Hao matajiri ndio wanaoipatisha serikali yako Mapato makubwa ya kodi!
Ni hao hao waliajiri wazee wenu
( km unamjua lkn) na nyie mkanunuliwa hizo desktop zilizotumika!
Badala ya kuwashukuru, unawakashifu na kuwaombea balaa!
Sasa siku wakiamua kuhama nchi! Wewe na wazee wako si mtarudi ukerewe kwa miguu!?
Kuwa na adabu we mtoto!
Na uwaambie hawa wachaga kina 2013 Remote Matola Nicholas kuwa WAISLAMU ndio wanao endesha nchii hii! Japo bado yale masalia ya MFUMOKRISTO yamo maofisi ya seriakali!
Lkn na huko tunakwenda! Tumeanza kusafisha wizara baada ya wizara!
Last edited by a moderator: