Hata Kamanda wa Anga alitujulisha kuwa Akaunti zake zote za Bank zilifungwa baada ya Mzee Kufarikihuo ni unafiki kwanini hakusema wakati magufuli yupo hatuwezi kusikiliza maneno ya upande mmoja tu kama kwenye kanga angesema na magufuli yupo ili tusikie naye atasemaje hapo mzee umefeli pakubwa sanaaaaaaaaaa
Alimpa sheikh Kishk eneo kule temeke watasema Jk😂😂😂
Wanazidi kujivuruga
Shujaa aliwapenda sana Waislam wachamungu
Naunga mkono hoja ...msikiti huwezi kujengwa na khafiri .....sema Yule Mzee misifa alituweza kweli kwa unafkiDunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.
Iwe bhojo!
"Magufuli alikuwa Simba wa yuda na pia hukupenda kushaulika akiamua tampoteza mtu lazima auwae" Samia(2021)Hata kwenye dini wanafiki na wasakatonge wapo kwanini hakuongea hayo na kumkemea JPM aache kudanganya?
Angesemaje Kwa mfano... Apotezwe!huo ni unafiki kwanini hakusema wakati magufuli yupo hatuwezi kusikiliza maneno ya upande mmoja tu kama kwenye kanga angesema na magufuli yupo ili tusikie naye atasemaje hapo mzee umefeli pakubwa sanaaaaaaaaaa
Kwani mufti naye anasemaje ?
Dunia hii ina unafiki mwingi sana, imagine mimi imani yangu haiamini msikiti, lakini najenga. si bora sa100 hakutaka hata kusema Bwana asifiwe, akaweka salamu ya jamhuri, kwasababu hataki unafiki, nampongeza.Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ...
Mwendazake alikuwa Muongo sana..Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.
Iwe bhojo!
Mkuu kuna hili bomu la tahsusi mpya za a lvele litakuja lipuka vibaya mbeleni.Katika nchi secular viongozi wa serikali hawatakiwa kujiingiza katika habari za kujenga nyumba za ibada za dini.
We ngoja walokole, wasabato na wakatoliki waanze kupigana madarasani kila mtu akigombea upande wake ndio ufundishwe.Mkuu kuna hili bomu la tahsusi mpya za a lvele litakuja lipuka vibaya mbeleni.