Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

huo ni unafiki kwanini hakusema wakati magufuli yupo hatuwezi kusikiliza maneno ya upande mmoja tu kama kwenye kanga angesema na magufuli yupo ili tusikie naye atasemaje hapo mzee umefeli pakubwa sanaaaaaaaaaa
Hata Kamanda wa Anga alitujulisha kuwa Akaunti zake zote za Bank zilifungwa baada ya Mzee Kufariki
 
Wamalizie basi ujenzii mdg mdg uliyobakia hapo

Ova
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.

Iwe bhojo!

Naunga mkono hoja ...msikiti huwezi kujengwa na khafiri .....sema Yule Mzee misifa alituweza kweli kwa unafki
 
Hata kwenye dini wanafiki na wasakatonge wapo kwanini hakuongea hayo na kumkemea JPM aache kudanganya?
"Magufuli alikuwa Simba wa yuda na pia hukupenda kushaulika akiamua tampoteza mtu lazima auwae" Samia(2021)
 
huo ni unafiki kwanini hakusema wakati magufuli yupo hatuwezi kusikiliza maneno ya upande mmoja tu kama kwenye kanga angesema na magufuli yupo ili tusikie naye atasemaje hapo mzee umefeli pakubwa sanaaaaaaaaaa
Angesemaje Kwa mfano... Apotezwe!
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisaa. Safi sana shekhe.
 
Kumbe huyu shekh ni bumunda kiasi hiki kwa hili siwezi kukubaliana nae aisee kawadanganya waislam wenzeka nao wamemwamini . Takbiiiiiiir
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ...
Dunia hii ina unafiki mwingi sana, imagine mimi imani yangu haiamini msikiti, lakini najenga. si bora sa100 hakutaka hata kusema Bwana asifiwe, akaweka salamu ya jamhuri, kwasababu hataki unafiki, nampongeza.

Mimi nitawapenda waislam na kusaidiana nao kama wanadamu wenzangu, ila imani ya msikiti siiamini kama ni njia ya kweli, na siwezi kutoa hata senti tano kujenga njia ya upotevuni. utaadhibiwa hadi na Mungu wa kweli.
 
Sheikh kajichanganya. Ukweli umedhihiri atafute kichaka kingine Cha kujificha.
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.

Iwe bhojo!

Mwendazake alikuwa Muongo sana..
Anadanganya alafu anchombeza "au nasema uongo ndugu zanguuu?.. msema kweli ni mpenzi wa Mungu"
 
Huu ndiyo ule wa Makonda au ni mwingine
 
Katika nchi secular viongozi wa serikali hawatakiwa kujiingiza katika habari za kujenga nyumba za ibada za dini.
Mkuu kuna hili bomu la tahsusi mpya za a lvele litakuja lipuka vibaya mbeleni.
 
Back
Top Bottom