Hata Kamanda wa Anga alitujulisha kuwa Akaunti zake zote za Bank zilifungwa baada ya Mzee Kufarikihuo ni unafiki kwanini hakusema wakati magufuli yupo hatuwezi kusikiliza maneno ya upande mmoja tu kama kwenye kanga angesema na magufuli yupo ili tusikie naye atasemaje hapo mzee umefeli pakubwa sanaaaaaaaaaa