Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Hapo bakwata kwenye kuna ofisi mpaka leo wao hawajamaliza

Ova


Kuna watu hawajui kushukuru kwa sasa ni mtazamo wa mtu si sahihi kuiweka BAKWATA nzima kwa kauli ya mtu mmoja ambae wala sidhani kama ni msemaji wao.

Magufuli mwenyewe amewapa hela kama mara mbili kwa sababu ya huo msikiti, sio kwamba Morroco walitoa hela zote kuna mambo mengine ya nyongeza walitaka akawa anawapa hela.

Embu watuonyeshe picha JK akichangia hata msikiti Msoga, anachojua yeye ni kuwapelekea fiesta tu.

Ama kweli tenda wema nenda zako.
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.

Iwe bhojo!

kamuoneshe huyo shehe wako hii video. Mjenzi wa msikiti huo yaani mfalme wa morocco yupo na magufuli nae yupo, na msikiti unaongelewa kabisa kwa lugha zote kiswahili na ki morocco. baada ya hapo tutajua nani anadanganya uma


Your browser is not able to display this video.
 
Kwani kuna haja ya ufafanuzi?
 


tatizo kubwa la mashehe wa kiislamu ni kukosa shule. wangekuwa wanafika udsm wasingekuwa wanaongea vitu upuuzi upuuzi bila kufanya research

Tazama video ambayo mfalme wa Morocco mwenyewe aliejenga huo msikiti anavyokubali kwamba ujenzi wa huo msikiti ameombwa na nani ?

maana Mfalme wa morocco ndie alieujenga hivyo ndie anaejua ukweli halisi


Your browser is not able to display this video.
 
Sasa jamaa waliohusika na mchakato wa ujenzi wamemwanga mboga, wamechoka na uongo na unafiki
 
Wakati mwingine jitahidi kufanya utafiti kabla ya kusema jambo!!!!! Akili za kuambiwa changanya na zako
 
Watz wanataka maendeleo siyo idadi ya misikiti na makanisa
 
Kuomba kujengewa nyumba ya ibada si sifa.
 
Hicho kijumba kinawasaidia nini?

Bora wangeomba wajengewe kiwanda kifanye uzalishaji, kiajiri vijana na kuongeza uchumi wa nchi.

Na hili ombi la kiwanda hao watoa misaada ya uongo wasingelikubali maana wao wanataka watoe misaada kwenye mambo ya kijinga yanayowanufaisha wao.

Kijumba chenyewe kimezungukwa na mateja kibao.

Weusi tufungue akiri zetu.
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.

Iwbbhojounou
awasaidia
 
Hao jamaa hawana shukrani,wanataka kumpa ujiko tu fisadi jk.
 
bado madege a mavivuko uko ziwani
 

..Magufuli alikuwa KITUKO.

..Ni sawa na alivyoiba uchaguzi wa 2020 wakati uwezo wa kushinda kihalali alikuwa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…