mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kuna wakat hPo Feni ilikuwa inazingua wakaomba mchangoTanzania ni nchi ya ovyo sana, Mpaka kujenga msikiti tunaomba msaada nchi za nje dah ! Omba omba wakiwango cha Pro max
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakat hPo Feni ilikuwa inazingua wakaomba mchangoTanzania ni nchi ya ovyo sana, Mpaka kujenga msikiti tunaomba msaada nchi za nje dah ! Omba omba wakiwango cha Pro max
Mpaka aibu 🙈🙈🙈Hapa umetupiga. Ni Dar - Dodoma - Utawala wa JpM
Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza - Utawala wa Samia
Hapo bakwata kwenye kuna ofisi mpaka leo wao hawajamaliza
Ova
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.
Iwe bhojo!
Kwani kuna haja ya ufafanuzi?View attachment 2945052
Wakuu,
Mwenzenu naona aibu sana. Jinsi Magufuli alivyokuwa akijitapa mara atembelee Msikiti huku kavaa Kanzu, Mara amtume Makonda, mara aipige biti. Nimeona aibu sana kwa jinsi alivyokuwa akijitapa.
Kuna siku alisema eti, Mfalme wa 6 wa Morocco alipokuakuja nikamuomba Msikiti. "Akashangaa ananiangalia machoni", nikamuuliza nini? Akasema nimeshangaa Mkristo unaomba Msikiti.
Sasa BAKWATA Wamevunja ukimya na kuweka Kumbukumbu sawa.
Wamesema aloomba Msikiti ni Jakaya Kikwete. Magufuli alikuwa anafanya siasa tu.
View attachment 2945053
Sasa kwanini Hayati Magufuli atafute kiki kwa Msikiti badala ya Makanisa?
Mimi niliikuwa nashangaa. Mafuli awe na moyo wa kuomba Msikiti halafu Watu kila siku watekwee na kupotea?
Asante sana BAKWATA. Sasa nimeanza kuwqamini.
TAK

TAKBIR.
Sasa jamaa waliohusika na mchakato wa ujenzi wamemwanga mboga, wamechoka na uongo na unafikikamuoneshe huyo shehe wako hii video. Mjenzi wa msikiti huo yaani mfalme wa morocco yupo na magufuli nae yupo, na msikiti unaongelewa kabisa kwa lugha zote kiswahili na ki morocco. baada ya hapo tutajua nani anadanganya uma
View attachment 2945128
We K Nini!!Dini gani? 🐼
Wakati mwingine jitahidi kufanya utafiti kabla ya kusema jambo!!!!! Akili za kuambiwa changanya na zakoView attachment 2945052
Wakuu,
Mwenzenu naona aibu sana. Jinsi Magufuli alivyokuwa akijitapa mara atembelee Msikiti huku kavaa Kanzu, Mara amtume Makonda, mara aipige biti. Nimeona aibu sana kwa jinsi alivyokuwa akijitapa.
Kuna siku alisema eti, Mfalme wa 6 wa Morocco alipokuakuja nikamuomba Msikiti. "Akashangaa ananiangalia machoni", nikamuuliza nini? Akasema nimeshangaa Mkristo unaomba Msikiti.
Sasa BAKWATA Wamevunja ukimya na kuweka Kumbukumbu sawa.
Wamesema aloomba Msikiti ni Jakaya Kikwete. Magufuli alikuwa anafanya siasa tu.
View attachment 2945053
Sasa kwanini Hayati Magufuli atafute kiki kwa Msikiti badala ya Makanisa?
Mimi niliikuwa nashangaa. Mafuli awe na moyo wa kuomba Msikiti halafu Watu kila siku watekwee na kupotea?
Asante sana BAKWATA. Sasa nimeanza kuwqamini.
TAKBIR.
Watz wanataka maendeleo siyo idadi ya misikiti na makanisaDunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.
Iwe bhojo!
View attachment 2945023
Mbona unatetemeka wakati hujafunga kula mchana?🐼We K Nini!!
Kuomba kujengewa nyumba ya ibada si sifa.Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.
Iwe bhojo!
View attachment 2945023
awasaidiaDunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.
Iwbbhojounou
Hao jamaa hawana shukrani,wanataka kumpa ujiko tu fisadi jk.View attachment 2945052
Wakuu,
Mwenzenu naona aibu sana. Jinsi Magufuli alivyokuwa akijitapa mara atembelee Msikiti huku kavaa Kanzu, Mara amtume Makonda, mara aipige biti. Nimeona aibu sana kwa jinsi alivyokuwa akijitapa.
Kuna siku alisema eti, Mfalme wa 6 wa Morocco alipokuakuja nikamuomba Msikiti. "Akashangaa ananiangalia machoni", nikamuuliza nini? Akasema nimeshangaa Mkristo unaomba Msikiti.
Sasa BAKWATA Wamevunja ukimya na kuweka Kumbukumbu sawa.
Wamesema aloomba Msikiti ni Jakaya Kikwete. Magufuli alikuwa anafanya siasa tu.
View attachment 2945053
Sasa kwanini Hayati Magufuli atafute kiki kwa Msikiti badala ya Makanisa?
Mimi niliikuwa nashangaa. Mafuli awe na moyo wa kuomba Msikiti halafu Watu kila siku watekwee na kupotea?
Asante sana BAKWATA. Sasa nimeanza kuwqamini.
TAKBIR.
bado madege a mavivuko uko ziwaniMAGUFULI HAHITAJI KICK YA MSIKITI!
Mwamba "JPM!"
John Pombe Magufuli... ameondoka Dunia na hatarudi kamwe.Hii ni kanuni ya ki-maumbile ya Ki-dunia,kulingana na mafundidho ya vitabu vitakatifu vya Mungu kwamba kila nafsi itapitia hatua hiyo kwa muda wake utakapiwadia.
Mimi ninachofurahia ni jinsi Magufuli alivyoacha "Landmarks" lukuki ambazo zinawatesa hawa wapigaji wa kisasa wa kisiasa!
Hawawezi kumfuta Magufuli kirahisi ilhali kaacha Landmark kila kona ya nchi
Nitaziorodhesha hapa na muelewe sababu ya Magufuli kutofutika kirahisi Hapa nchini.
IKULU ya Chamwino-Dodoma.
BWAWA LA UMEME la Nyerere.
UKUTA wa Mererani-Manyara.
DARAJA la Tanzanite-Dar es Salaam.
FLYOVERS ya Mfugale -Dar es Salaam.
STENDI YA MAGUFULI-Dar es Salaam.
BARABARA NJIA SITA-Ubungo mpaka mbezi na kuendelea mlandizi.Dar es Salaam.
STENDI KUU -Morogoro.
SOKO KUU-Mwanza.
STENDI KUU-Nyegezi,Mwanza.
STENDI KUU-Nyamhongolo Mwanza.
UWANJA WA NDEGE-Chato.
DARAJA LA WAMI- TANGA.
BOMBA LA MAFUTA -Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania.
RELI YA SGR-Dar es Salaam mpaka Mwanza.
Hizi ni Landmarks na sio vitu vinavyohamishika.ndio maana sijataja Meli wala Ndege.
Kuna pia Zahanati zaidi ya 478 pamoja na hospitali za Wilaya,Rufaa pamoja na za kanda kama Hospitali ya Rufaa Chato.
Kiongozi kama huyu huwezi futa legacy yake kwa kutumia keyboard.
Halafu watu fulani wenye kushiriki uovu kupigana na Legacy ya JPM huku wakitaka kuzitumia hizo Landmarks za JPM kwenye uchaguzi ujao wa 2025.Ushahidi uko wazi.
Watuambie kwanza hizo awamu zingine ukiondoa ya Baba wa Taifa JK Nyerere(R.I.P),na pia Benjamin Mkapa(R.I.P).
Hao wengine watuambie legacy zao walizotuachia zaidi ya Ufisadi,Majungu na Kupigana na Makaburi.
Na kama taifa!
Ni nini na zinatusaidiaje kwa sasa kama zipo?
MAGUFULI HAHITAJI KICK YA MSIKITI!