Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Kwa sababu JPM hakuwa dini yao, kwa hiyo lolote alilowafanyia watasema siyo yeye aliyelifanya bali kulikuwa na mwana dini mwingine.

Kuna siku JPM alipitisha bakuli (nadhani kanisani) kukusanya michango ya ujenzi wa msikiti fulani Dodoma.
Ni kiherehere chake tu, waislamu tuna uwezo mkubwa
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.

Iwe bhojo!

Mm nadhani tuendelee na juhudi ya kufuta yote mema yaliyoasisiwa na JPM maana ndio mkakati mkuu.
 
Waislamu wana chuki mbaya sana kwa watu wasio waislamu. teknolojia haziongopi tazama mwenyewe video chini.

Rais Magufuli achangisha fedha Kanisani, kujenga Msikiti.​


View attachment 2945065
Hawajawahi kuwa na Akili hao wamejawa na unafiki mtupu,hawanaga utu,Magufuli angekuwa mwislamu usingeona chuki hiyo,Tukumbuke kuogopa mambo mawili yaani MUNGU na technolojia.
 
MAGUFULI HAHITAJI KICK YA MSIKITI!
Mwamba "JPM!"
John Pombe Magufuli... ameondoka Dunia na hatarudi kamwe.Hii ni kanuni ya ki-maumbile ya Ki-dunia,kulingana na mafundidho ya vitabu vitakatifu vya Mungu kwamba kila nafsi itapitia hatua hiyo kwa muda wake utakapiwadia.

Mimi ninachofurahia ni jinsi Magufuli alivyoacha "Landmarks" lukuki ambazo zinawatesa hawa wapigaji wa kisasa wa kisiasa!

Hawawezi kumfuta Magufuli kirahisi ilhali kaacha Landmark kila kona ya nchi

Nitaziorodhesha hapa na muelewe sababu ya Magufuli kutofutika kirahisi Hapa nchini.

IKULU ya Chamwino-Dodoma.
BWAWA LA UMEME la Nyerere.
UKUTA wa Mererani-Manyara.
DARAJA la Tanzanite-Dar es Salaam.
FLYOVERS ya Mfugale -Dar es Salaam.
STENDI YA MAGUFULI-Dar es Salaam.
BARABARA NJIA SITA-Ubungo mpaka mbezi na kuendelea mlandizi.Dar es Salaam.
STENDI KUU -Morogoro.
SOKO KUU-Mwanza.
STENDI KUU-Nyegezi,Mwanza.
STENDI KUU-Nyamhongolo Mwanza.
UWANJA WA NDEGE-Chato.
DARAJA LA WAMI- TANGA.
BOMBA LA MAFUTA -Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania.
RELI YA SGR-Dar es Salaam mpaka Mwanza.

Hizi ni Landmarks na sio vitu vinavyohamishika.ndio maana sijataja Meli wala Ndege.
Kuna pia Zahanati zaidi ya 478 pamoja na hospitali za Wilaya,Rufaa pamoja na za kanda kama Hospitali ya Rufaa Chato.
Kiongozi kama huyu huwezi futa legacy yake kwa kutumia keyboard.

Halafu watu fulani wenye kushiriki uovu kupigana na Legacy ya JPM huku wakitaka kuzitumia hizo Landmarks za JPM kwenye uchaguzi ujao wa 2025.Ushahidi uko wazi.

Watuambie kwanza hizo awamu zingine ukiondoa ya Baba wa Taifa JK Nyerere(R.I.P),na pia Benjamin Mkapa(R.I.P).

Hao wengine watuambie legacy zao walizotuachia zaidi ya Ufisadi,Majungu na Kupigana na Makaburi.
Na kama taifa!
Ni nini na zinatusaidiaje kwa sasa kama zipo?
Mkuu


Stendi kuu ya Morogoro hapo hapana, aliikuta labda useme akiwa waziri wa ujenzi stendi hiyo ilijengwa.

Labda hizi hapa
1. Soko kuu la Chifu Kingalu hilo ndio 'credit' zake
2. Soko kuu la Chuno Mtwara
3. Stendi kuu Tanga, Muheza na Korogwe
3. Stendi ya mabasi ya mfano-Same, Kilimanjaro
4. Soko kuu Nane nane Dodoma
5. Stendi kuu ya Ndugai Dodoma
6. Stendi kuu Ipogolo, Iringa
7. Hosteli na Maktaba chuo kikuu Dar Es Salaam
8. Ujenzi wa meli kubwa ziwa viktoria, Tanganyika na Nyasa
9. Mji wa mfano wa serikali Mtumba Dodoma (Magufuli Satellite City)
10. Hospitali ya Uhuru Chamwino Dodoma
11. Daraja la mto Wami Chalinze, Pwani
12. Mwekezaji mzawa kupewa ardhi kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha sukari Bagamoyo (Bagamoyo Sugar-AZAM)
13. Ununuzi wa rada kwa kanda tano kwa ajili ya usalama wa anga
14. Uboreshaji wa mikataba ya madini kwa manufaa ya taifa baada ya kutungwa sheria wezeshi
15. Upanuzi wa bandari ya Mtwara na Tanga kwa kujenga magati mapana zaidi kuwezesha meli kubwa kutua nanga
16. Wananchi wasio na mamlaka na masikini kutetea kwa dhati na jitihada kuonekana
17. Heshima kwa watumishi serikalini kurejeshwa ijapokuwa kwa sasa wameota mapembe tena na kuanza kuwanyanyasa wananchi bila hata kuchukuliwa hatua stahiki
18. Kudhibiti mfumuko wa bei ya bidhaa ambazo ni mhimu kwa matumizi ya wananchi kwa kila siku
19. Jeshi kuaminiwa kiasi cha kutosha katika usimamizi wa miradi ya umma
20. Wananchi kuwa na uwezo wa kumiliki ardhi bila usumbufu na kujenga

Nk................
 
Hivi kwanin hakusema kipind mr president yu hai?huu ni unafik at its best!
 
Hamna shukran, Haramia atabaki kua Jangili tu hata umtendee nini atakulipa mabaya hata ukiwa umekufa.
 
Shehe aache uongo. mfalme wa 6 wa Morocco alitembelea Tanzania october mwaka 2016, je mwaka huo rais alikuwa Kikwete?

Ukweli ni kwamba ujenzi wa msikiti uliombwa kwa mfalme huyo baada ya kufika Tanzania.

Hata kama huyo mzee hampendi magufuli. teknolojia haidanganyi.. tazameni video wenyewe mumuone mfalme mwenyewe wa morocco anavyokubali kwa JPM



View attachment 2945127
Wanaona aibu Kwamba hata nyumba ya Ibada wanaombewa na kafiri🤣🤣🤣
 
View attachment 2945052
Wakuu,

Mwenzenu naona aibu sana. Jinsi Magufuli alivyokuwa akijitapa mara atembelee Msikiti huku kavaa Kanzu, Mara amtume Makonda, mara aipige biti. Nimeona aibu sana kwa jinsi alivyokuwa akijitapa.

Kuna siku alisema eti, Mfalme wa 6 wa Morocco alipokuakuja nikamuomba Msikiti. "Akashangaa ananiangalia machoni", nikamuuliza nini? Akasema nimeshangaa Mkristo unaomba Msikiti.

Sasa BAKWATA Wamevunja ukimya na kuweka Kumbukumbu sawa.

Wamesema aloomba Msikiti ni Jakaya Kikwete. Magufuli alikuwa anafanya siasa tu.
View attachment 2945053
Sasa kwanini Hayati Magufuli atafute kiki kwa Msikiti badala ya Makanisa?

Mimi niliikuwa nashangaa. Mafuli awe na moyo wa kuomba Msikiti halafu Watu kila siku watekwee na kupotea?

Asante sana BAKWATA. Sasa nimeanza kuwqamini.

TAKBIR.
Mbona hamkukanusha aliposema amewaombea msikiti alipokuwa hai? Mnaona aibu?
 
Watu wanajua kinachosemwa na sheikh Jongo, ila wanajitoa ufahamu tu. Hakuna asiyejua jinsi jamaa alivokuwa hawapendi masilamu, ila kwenye kamera akijifanya ni mtetezi wao sana.
 
Back
Top Bottom