Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
BAKWATA wamepewa na nani dhamana ya kuwa wasemaji wa Serikali?Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amesema si kweli kwamba vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinahusika na mauaji ya raia akieleza kuwa tuhuma hizo hazina msingi na zinapaswa kupuuzwa.
Akizungumza na Jambo TV ofisini kwake, Sheikh Kabeke ametolea mfano matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa askari wa vyombo vya ulinzi na usalama hutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na kiapo walichoapa cha kulinda nchi, raia na mali zao.
"Kumekuwa na maneno kwamba Jeshi la Polisi linaua watu, usalama wa taifa unaua watu nisema sio kweli na katika hili nipo tayari ‘chalenji’ ya mtu yoyote," amesema
Sheikh Kabeke ameongeza kuwa askari wamepewa dhamana ya kulinda amani, usalama na ustawi wa taifa, hivyo si sahihi kuwahusisha moja kwa moja na madai ya mauaji bila ushahidi.
🤣🤣BAKWATA wamepewa na nani dhamana ya kuwa wasemaji wa Serikali?
Ukiwa mlinzi kwenye duka la mangi na mlango wa duka ukawa unavunjwa na vitu kuibwa mara kwa mara bila wewe kuona anayevunja na kuiba, wewe ndiye utakuwa mhusika wa huo wizi. No excuses!
Mbona unaripoti taarifa yako kidwanzi kiasi hiki?Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amesema si kweli kwamba vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinahusika na mauaji ya raia akieleza kuwa tuhuma hizo hazina msingi na zinapaswa kupuuzwa.
Akizungumza na Jambo TV ofisini kwake, Sheikh Kabeke ametolea mfano matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa askari wa vyombo vya ulinzi na usalama hutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na kiapo walichoapa cha kulinda nchi, raia na mali zao.
"Kumekuwa na maneno kwamba Jeshi la Polisi linaua watu, usalama wa taifa unaua watu nisema sio kweli na katika hili nipo tayari ‘chalenji’ ya mtu yoyote," amesema
Sheikh Kabeke ameongeza kuwa askari wamepewa dhamana ya kulinda amani, usalama na ustawi wa taifa, hivyo si sahihi kuwahusisha moja kwa moja na madai ya mauaji bila ushahidi.
Mwambieni yeye ni mpumbavu tuuSheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amesema si kweli kwamba vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinahusika na mauaji ya raia akieleza kuwa tuhuma hizo hazina msingi na zinapaswa kupuuzwa.
Akizungumza na Jambo TV ofisini kwake, Sheikh Kabeke ametolea mfano matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa askari wa vyombo vya ulinzi na usalama hutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na kiapo walichoapa cha kulinda nchi, raia na mali zao.
"Kumekuwa na maneno kwamba Jeshi la Polisi linaua watu, usalama wa taifa unaua watu nisema sio kweli na katika hili nipo tayari ‘chalenji’ ya mtu yoyote," amesema
Sheikh Kabeke ameongeza kuwa askari wamepewa dhamana ya kulinda amani, usalama na ustawi wa taifa, hivyo si sahihi kuwahusisha moja kwa moja na madai ya mauaji bila ushahidi.
Sasa hivi waislam ndio wamekuwa wasemaji wa serikaliBAKWATA wamepewa na nani dhamana ya kuwa wasemaji wa Serikali?
Ukiwa mlinzi kwenye duka la mangi na mlango wa duka ukawa unavunjwa na vitu kuibwa mara kwa mara bila wewe kuona anayevunja na kuiba, wewe ndiye utakuwa mhusika wa huo wizi. No excuses!
Mzee Mohamed Said hawa ndugu ktk imani waandikie makala ya kuwahasa waaxhe ujinga .Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amesema si kweli kwamba vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinahusika na mauaji ya raia akieleza kuwa tuhuma hizo hazina msingi na zinapaswa kupuuzwa.
Akizungumza na Jambo TV ofisini kwake, Sheikh Kabeke ametolea mfano matukio yaliyojitokeza Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa askari wa vyombo vya ulinzi na usalama hutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria na kiapo walichoapa cha kulinda nchi, raia na mali zao.
"Kumekuwa na maneno kwamba Jeshi la Polisi linaua watu, usalama wa taifa unaua watu nisema sio kweli na katika hili nipo tayari ‘chalenji’ ya mtu yoyote," amesema
Sheikh Kabeke ameongeza kuwa askari wamepewa dhamana ya kulinda amani, usalama na ustawi wa taifa, hivyo si sahihi kuwahusisha moja kwa moja na madai ya mauaji bila ushahidi.
Naona mazafakas wameigeuza kinyemela nchi kuwa Islamic republic!Sasa hivi waislam ndio wamekuwa wasemaji wa serikali
Wao ni akili kubwa,wanajua mambo na wanayaona kwa uwanda mpana sana.Kwanini ni mashehe tu?
Inashangaza sana na kuacha maswali kwamba katika Imani yao hakuna misingi ya kusema ukweli na kukumbatia haki.Naona mazafakas wameigeuza kinyemela nchi kuwa Islamic republic!
Terrorism ndio kitu pekee wanachokiweza zaidi.Inashangaza sana na kuacha maswali kwamba katika Imani yao hakuna misingi ya kusema ukweli na kukumbatia haki.
Hao ndiyo "masheikh" ambao wakiitwa majina mabaya na kukejeliwa hawajali kwa sababu tu wanamtetea mtu wa imani yao na kugawiwa vijisenti kadhaa wajikimu na njaa ya siku mbili-tatu.Aibu kubwa sana hii!Vyombo vya ulinzi vinalinda lakin havimjui mtekaji na muuaji wa raia, hata aliyeua zaidi ya raia 518 kwa mujibu wa ripoti ya CCM. Vyombo vya ulinzi havimjui!..............vinalinda nini sasa......??????
Kutokupenda ukweli na kukumbatia unafiki hakuna tofauti na wafanyao shirki.Wanajiweka dhalili sana hadi mbele ya watoto wadogo na waumini wao.Akiingia Rais mkristo...
Hawa masheikh hutowasikia tena, ila watakuwa wanatoa lawama chini kwa chini...
Wenzao wakristo wataendelea kutoa waraka na matamko mbalimbali kumpinga kiongozi bila kujali dini yake...
Maana wana credibility hiyo...
Wanautetea uislamSasa hivi waislam ndio wamekuwa wasemaji wa serikali
Mashehe wa mama!Mzee Mohamed Said hawa ndugu ktk imani waandikie makala ya kuwahasa waaxhe ujinga .