Sheikh Kipozeo atambulishwa rasmi WCB

Shehe Bange.
how? sanaa yake katika uwasilishaji wa mawaidha ndo inakufanya umuite shehe bange? this is art of submission kila mtu ana ya kwake, ukimsikia Sh. Nurdini Kishki ana ladha yake, ukimsikia Dr. Sule ana ladha yake halkadhalika Ust. Mazinge ana ladha yake.....so muheshimu shehe wetu mpendwa.
 
Hii nzuri. Hapa kubalance mambo wangemtafuta na PASTOR KURIA (pastor Kush) wa CHURCHILL SHOW ya Kenya.

naitwa pastor kuria kutokea kanisa ra bruu spring nilikuwa man kush ni mungu aliniita, siombei watu mkikuja tunasali wote ukifanikiwa endaga πŸ˜€πŸ˜€
 
hao wote Janja Janja"" wapigaji tu "" wezi ile mbaya
 
Yeye mpango wake ni kujigegedea mabikira 72 peponi
 
"ile mizigo mikubwa mikubwa tunayoipendaga watu wa Afrika...............hatari sana"
 
Kipind kitakuwa lini na saa ngapi?.Japo mimi siyo muislamu lakini huyu Sheikh napenda sana mafundisho yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…