Najaf
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 1,505
- 2,393
La CavelaAnatoa maneno yanayopoza mioyo ya watu ndio maana wanamuita kipozeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La CavelaAnatoa maneno yanayopoza mioyo ya watu ndio maana wanamuita kipozeo
ok sawa, wasafi ni wasikivuHapana...wawe permanent hata baada ya mfungo...kiwe kipindi rasmi. Mmoja awe anatoa mawaidha Ijumaa labda na mwingine Jumapili.
[HASHTAG]#nyumbayaImani[/HASHTAG]
how? sanaa yake katika uwasilishaji wa mawaidha ndo inakufanya umuite shehe bange? this is art of submission kila mtu ana ya kwake, ukimsikia Sh. Nurdini Kishki ana ladha yake, ukimsikia Dr. Sule ana ladha yake halkadhalika Ust. Mazinge ana ladha yake.....so muheshimu shehe wetu mpendwa.Shehe Bange.
Hii nzuri. Hapa kubalance mambo wangemtafuta na PASTOR KURIA (pastor Kush) wa CHURCHILL SHOW ya Kenya.
Chunga kauli yako mzee usivuke mpakaShehe Bange.
Unamkubali eeh?aiseee sitakosa
ndiye huyo " huyoHuyu ndio yule wa mizigo ama [emoji16][emoji16][emoji16]
hao wote Janja Janja"" wapigaji tu "" wezi ile mbayahow? sanaa yake katika uwasilishaji wa mawaidha ndo inakufanya umuite shehe bange? this is art of submission kila mtu ana ya kwake, ukimsikia Sh. Nurdini Kishki ana ladha yake, ukimsikia Dr. Sule ana ladha yake halkadhalika Ust. Mazinge ana ladha yake.....so muheshimu shehe wetu mpendwa.
Sio Nabii Tito?Hii nzuri. Hapa kubalance mambo wangemtafuta na PASTOR KURIA (pastor Kush) wa CHURCHILL SHOW ya Kenya.
Hujakosea mkuu.Huyu ndio yule wa mizigo ama [emoji16][emoji16][emoji16]
😀😀😀😀😀,Mimi pia asee,Huyu shekh navutia kumskiliza.aiseee sitakosa
Hahaaaa yule Mkenya anachekesha sana.Hii nzuri. Hapa kubalance mambo wangemtafuta na PASTOR KURIA (pastor Kush) wa CHURCHILL SHOW ya Kenya.