Sheikh Kipozeo ndani ya Take One ya Clouds TV

sheikh Al-Habib Hilal Kipozeo nouma sana hususani akiwa anahadithia maisha ya huko peponi anakuambia mwanaume atakuwa na uwezo wa kuhudumia wanawake 60 na kitu kinakuwa kipo mnara muda wote, aisee sitoikosa hiyo interview yake leo
DAH Nasikitika kusikia unayoyasema lakini ngoja nisiingilie .....
 
Kwanini Star Times hawana hii frequency kwenye visumbuzi vyao? Very boring
 
Hatar sana sheikh '' anasemaga mii napendaga walee wa kibantu wee penda hao wakizungu'' mawaidha yake yanakuwaga zaid kweny mahusiano [emoji132]
 
Sheikh Kipozeo ndio analianzisha hapa kwa utangulizi WA clip matata,umeng'ang'ania mke mmoja mama yako yule....hatare
 
Jana baada ya kuangalia interview ya sheikh kipozeo nimegundua ana busara hekima na elimu kubwa ya dini ya kiislamu tofauti na zile clips zilizosambaa zilim specialize sana kwenye mapenzi ila kumbe ana uwezo mkubwa wa kupambanua mambo mengi.. by the way alinifurahisha kuhusu uadilifu upande wa kindani kwa wenye wake zaidi ya mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…