Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeitikia vizuri!Naam..
DAH Nasikitika kusikia unayoyasema lakini ngoja nisiingilie .....sheikh Al-Habib Hilal Kipozeo nouma sana hususani akiwa anahadithia maisha ya huko peponi anakuambia mwanaume atakuwa na uwezo wa kuhudumia wanawake 60 na kitu kinakuwa kipo mnara muda wote, aisee sitoikosa hiyo interview yake leo
mkuu mi nimemquote tu huyo maalim ktk moja kati ya video clip zake zilizoenea mitandaoni sasa unasikitika niniDAH Nasikitika kusikia unayoyasema lakini ngoja nisiingilie .....
Nimecheka sana, na hakika sitaikosa hii!
Leo Jumanne, saa 3 usiku sheikh Al-Habib Hilal Kipozeo atakuwa mgeni kwenye msimu mpya wa kipindi cha Bongo Movie (Take One, New Chapter) akizungumzia masuala mbalimbali ya kinyumba baina ya mke na mume.. Patamu hapoooo!
Kwenye Jingle ambayo Mtangazaji Zamaradi Mketema anaonekana mwenye furaha na kutabasamu kwa maneno ya muhadhir huyu, Kipozeo anasikika akisema, ''Wanawake wametofautiana, kuna mwingine fundi zaidi, awe mtundu mtundu chumbani, mwenye kukuridhisha wewe... Naam''!
Sheikh huyu ni maarufu kutokana na uwasilishaji wake wa mawaidha kwa lugha lainiiiii..
Yaani Hao wemmbamba labda itokee tu awe amekosa wanene kwa siku hiyo,haha.. eti "hao wembamba, itokee tu"..
Ishaanzishwa topic hapa,Sheikh Kipozeo ndio analianzisha hapa kwa utangulizi WA clip matata,umeng'ang'ania mke mmoja mama yako yule....hatare