Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Shekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja.

Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu.

Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah 🙏

NB: Haurusiwi kwa aneongeza mke wa pili, fursa hii kwa vijana wanao anza kuoa.
 
... wanaooa kwa mara ya ngapi?
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Sometimes muwe-positive mnatoa appreciation bila kujali utofauti wa mitizamo yenu ya kidini. Sio kila time niku-criticize tu hata kile kitu ambacho kinaoonekana kuwa na faida.

Swala la ndoa sio uzinifu mzee
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Huu uzi hautaki maelezo marefu. Ulitakiwa ujibu tu kwa ufupi, mfano wa maneno kama haya hapa chini;

MashaAllah!!

Wabilah tawfiq!

Takbiir!!

Allah Akbar!

InshaAllah!, nk.
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Mkiwa katika ndoa, hata katika ukristo, hiyo ni Sacramento mojawapo, sio uzinzi au kama ulivyoita ngono.

Ni jambo jema. Na kama taasisi ya kidini ndio itakisimamia zoezi hili, basi watakaobahatika watafundwa jinsi ya kuishi, ikiwamo masuala ya kifedha/ shughuli ili maisha yawe ya kheri.
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Hahaaaa haaaa, wajiandae kugongewa.
 
Back
Top Bottom