Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Shekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja.

Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu

Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah [emoji120]

Nb: haurusiwi kwa aneongeza mke wa pili,fursa hii kwa vijana wanao anza kuoa.
Bora kuwafundisha ujazilia mali kwanza kisha waozeshwe au waozeshwe kisha wafundishwe ujasilia mali,kama kijana kashindwa kupata 500 au 1000 za kumpa mtarajiwa wake kama mahari akilipiwa kumrisha je ataweza ?
 
Shekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja.

Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu

Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah 🙏

Nb: haurusiwi kwa aneongeza mke wa pili,fursa hii kwa vijana wanao anza kuoa.
Kulipa mahari kashindwa,ataweza tunza mke?
Wazee wa kobasi wanapenda chini 😀😀😀

Wabillah Tawfiq 😝
 
Habari njema lakini michango ya baadhi ya wadau ndio imenidhangaza kidogo.

Mleta mada amewasilisha vema kabisa kwa kusema hii ni fursa kwa vijana wenye mpango wa kuoa mwaka huu, hivyo ni kama booster kwao.

Halafu anakuja mtu analeta hoja ooh si wangewafundisha ujasiriamali, au ooh wataweza kweli kuhudumia hao wanawake.

Sasa aliekwambia kuwa vijana watakao lipiwa hizo mahali ni wale wasiokuwa na uwezo wa kuhudumia nani?
Halafu ajabu iko wapi kama mtu anauwezo wa kuoa lakini akatokea mtu akamplipia mahari, si atakuwa amempunguzia gharama.

Sasa ubaya uko wapi!?
kopites 25000q TAI DUME
 
Shekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja.

Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu

Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah [emoji120]

Nb: haurusiwi kwa aneongeza mke wa pili,fursa hii kwa vijana wanao anza kuoa.
Hiyo ni Mahari , vipi kuhusu maisha yao ya kila siku ?
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Apo mtaani kwako kuna vijana wangapi wanaishi na wapenz wao pasipo ndoa na wanagharamikia matumizi bila tatizo sasa hao ndo walegwa achaha kuwaza hasi mda wotee. Hongera kwa Kishki na Alkim Foundatio Allah awazidishie Wanapopunguza AmeenaInshaAllah zinaa na chukizo kwa Mola wetu.
Ilakumbuka Allah anawatu wake.
 
Wanawapa na kichache cha kuanzia maisha ama?
Maana ishu sio mahali ishu ni kuitunza familia.

Kama uwezo wa mahalia, ambayo kwa dini ya kiislam sio kubwa unakushinda, utaweza vipi sasa kumudu gharama za maisha ukiwa na familia,??

Au unaoa ila kila mtu anakaa kwake, ili tu kupunguza dhambi ya kuzini,??
 
preview.mp4.jpg
 
Hizo pesa wawawezeshe vijana wafanye biashara habari za mahari zimepitwa na wakati.

Hiyo mahari haiendi kuwasaidia chochote hao wanandoa, kama hawana msingi mzuri kiuchumi wataishi maisha duni na hiyo mahari haitawakomboa kwenye wimbi la umasikini.

Vijana hatuhitaji kulipiwa mahari vijana tunahitaji kupata uwezo wa kutengeneza pesa. Hiyo pesa wawalipie vijana wa kiislamu Veta wapate ujuzi utaowasaidia kutengeneza pesa.

Kumsukuma kijana ambae hajiwezi kiuchumi kuingia kwenye ndoa ni kuendelea kutengeneza umasikini. (Sizungumzii uchumi wa kumiliki majumba na magari)
 
Shekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja.

Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu

Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah [emoji120]

Nb: haurusiwi kwa aneongeza mke wa pili,fursa hii kwa vijana wanao anza kuoa.
Hii ni nzuri kwa wale waliopanga kufunga ndoa ila tatizo lao lilikuwa mahari tu. Kwa Mfano unaambiwa mahari ni million 4 na mazagazaga mengine.
Ila kwa yule anayetaka kuoa lakini kipato chake ni kidogo huu mpango haumsaidii chochote ( huyo anatakiwa apate kitega uchumi kama bajaji, ili amudu maisha yanayohusiana na gharama za ndoa).
 
Kulipa mahari kashindwa,ataweza tunza mke?
Wazee wa kobasi wanapenda chini [emoji3][emoji3][emoji3]

Wabillah Tawfiq [emoji13]
Wewe unapenda chini wakati wewe ni hanithi?khanithi anajua utamu k?mjinge usio kuwa na kwenu kijana kuozeshwa ajabu iko wapi mashoga kazi mnayo
 
Apo mtaani kwako kuna vijana wangapi wanaishi na wapenz wao pasipo ndoa na wanagharamikia matumizi bila tatizo sasa hao ndo walegwa achaha kuwaza hasi mda wotee. Hongera kwa Kishki na Alkim Foundatio Allah awazidishie Wanapopunguza AmeenaInshaAllah zinaa na chukizo kwa Mola wetu.
Ilakumbuka Allah anawatu wake.
Shoga akio vijana wanaoa anachukia sana
 
Hivi inalazimu kuwa hao vijana watakao lipiwa wawe hawawezi kujikimu kimaisha!?

Mbona sioni mantiki ya swali lako.

Au mtu akilipiwa mahari maana yake hatoweza kuhudumia mke?
Unadhani kwanini wanalipiwa mahari ?
 
Back
Top Bottom