Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Mama na baba yako bila kufanya ngono ww ungezaliwa?
Au huyo mke uliye naye umemuoa ili umlishe anenepe ili uje umchinje ukamuuze kama ngombe buchani au?

Some time chuki humfanya mtu kuwa mpumbavu.
Sina chuki ila kumlipia mahari mtu si sawa
 
Mtoa maoni alikuwa na hoja. Kuwafungisha watu ndoa ni kitu chenye faida? Hauoni idadi ya ndoa zinazovunjika kila siku hapa nchini? Kwa Dar peke yake ndoa 300 huvunjika kwa mwezi.

Mwanaume lazima apatiwe mtihani wa kutoa mahari na kugharamia harusi. Akishindwa hiyo ndoa itayumba tu.
Kwa hiyo kwako uzinzi ndo una faida?

Kwani kuna vijana wangapi wanaishi na wanawake na hawajatolea mahali?
 
Apo mtaani kwako kuna vijana wangapi wanaishi na wapenz wao pasipo ndoa na wanagharamikia matumizi bila tatizo sasa hao ndo walegwa achaha kuwaza hasi mda wotee. Hongera kwa Kishki na Alkim Foundatio Allah awazidishie Wanapopunguza AmeenaInshaAllah zinaa na chukizo kwa Mola wetu.
Ilakumbuka Allah anawatu wake.
Shekhe kasema mabachela. Mtu ambaye ni bachela ni kwamba ana umri wa kuoa lkn kutokana na changamoto za maisha hajaoa. Kwahiyo huyumtu ukimlipia mahari akaoa hjamsaidia. Unamuongezea mzigo.
 
Kwa hiyo kwako uzinzi ndo una faida?

Kwani kuna vijana wangapi wanaishi na wanawake na hawajatolea mahali?
Unataka kusema walio kwenye ndoa hawazini? Takwimu zinaonesha michepuko mingi sana kama siyo yote inahudimiwa na wenye ndoa
 
Mtoa maoni alikuwa na hoja. Kuwafungisha watu ndoa ni kitu chenye faida? Hauoni idadi ya ndoa zinazovunjika kila siku hapa nchini? Kwa Dar peke yake ndoa 300 huvunjika kwa mwezi.

Mwanaume lazima apatiwe mtihani wa kutoa mahari na kugharamia harusi. Akishindwa hiyo ndoa itayumba tu.
Unaweza ukawa una hoja ambayo ikijadiliwa katika muktadha mwingine ika sound reasonable lakini hoja hiyo hiyo isiweze kufaa kwenye taswira ya kidini na mambo ya kiroho.

Kwa hiyo watu waache kuoana kwasababu ndoa zinavunjika?

Dini yako pengine kwenye mfumo wa ndoa hakuna exit door na ndio maana unaona kitu cha ajabu ndoa kuvunjika.

Kwenye uislamu kuna talaka, swala la ndoa kuvunjika kwao limepewa uhalali. Wao wameona ndoa sio kifungo cha kumfanya mtu aone akiingia hawezi kutoka hivyo abaki kuishi maisha yake yote kwa unafiki ili kuwafurahisha watu.
 
Ningeashauri kama kweli Hiyo Fedha IPO.

1. Wajenge chuo kikuu au

2. Wajenge Hospital au.

3. Wajenge shule.

Elimu Elimu Elimu.

Ndoa za wake WANNE ni mambo ya KIZAMANI SANA.

ELIMU
 
Mimi siwezi kukubali kulipiwa au kuchangiwa Mahali hata shilingi 1.

Huyo wanamke wa Bure hivyo atakuwa sio mwanamke!!!!

WAISLAMU mnafeli sana
 
Unataka kusema walio kwenye ndoa hawazini? Takwimu zinaonesha michepuko mingi sana kama siyo yote inahudimiwa na wenye ndoa
Ukiwa kwenye ndoa bado ukazini hilo ni juu yako ww na mungu wako ww ndo utajua utakavyo jibu mashitaka mbele ya mora wako.

Serikali haiwezi kuondoa sheria za wizi kisa hizo sheria hazijaweza kufanya wezi waache kuiba.
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
hapo ni dhahiri kuwa chuki za kidini ndiyo zinazokusumbua.

Pole sana
 
Dini yako pengine kwenye mfumo wa ndoa hakuna exit door na ndio maana unaona kitu cha ajabu ndoa kuvunjika.

Kwenye uislamu kuna talaka, swala la ndoa kuvunjika kwao limepewa uhalali. Wao wameona ndoa sio kifungo cha kumfanya mtu aone akiingia hawezi kutoka hivyo abaki kuishi maisha yake yote kwa unafiki ili kuwafurahisha watu
Tofauti ya ukahaba na ndoa zenye talaka ni ndogo sana.
 
Sometimes muwe-positive mnatoa appreciation bila kujali utofauti wa mitizamo yenu ya kidini. Sio kila time niku-criticize tu hata kile kitu ambacho kinaoonekana kuwa na faida.

Swala la ndoa sio uzinifu mzee
Hawa ni negativist! Appreciate wanachokiamin mana huwez badilisha kitu
 
Back
Top Bottom