Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

kuna tuhuma nzito sana juu yako za ushoga zimenisikitisha sana
kutukanwa mimi humu JF haikuanza leo , lakini Je jiulize wenzako walioanza kunitukana walipata faida gani ? nimeuliza swali la msingi sana , lakini kwa sababu ya akili yako ndogo ukaamua kunitukana ! Mimi huyu Kishki ni mtu nafahamiana naye , na ninafahamu uwezo wake kwamba anaweza kufanya zaidi ya hapo , kwamba badala ya kuwalipia mahali tu angeweza kuwawezesha hata kidogo kwenye masuala ya kimaisha , sasa hii haikuwa sababu ya wewe kuvunja sheria za jf na kutukana .

Ni aibu kwako na kwa Wazazi wako pia
 
kutukanwa mimi humu JF haikuanza leo , lakini Je jiulize wenzako walioanza kunitukana walipata faida gani ? nimeuliza swali la msingi sana , lakini kwa sababu wa akili yako ukaamua kunitukana ! Mimi huyu Kishki ni mtu nafahamiana naye , na ninafahamu uwezo wake kwamba anaweza kufanya zaidi ya hapo , kwamba badala ya mahali angeweza kuwawezesha hata kidogo kwenye masuala ya kimaisha , sasa hii haikuwa sababu ya wewe kuvunja sheria za jf na kutukana .

Ni aibu kwako na kwa Wazazi wako pia
mkuu sijakutukana balinimekufahamisha kwani nimeona sehemu mbalimbali ukituhumiwa kwa hilo

wapi nimekutukana?
 
Hiyo ni habari njema. Vijana wanaweza kosa hela nyingi kwa mkupuo lakini wakaweza kumudu hela za matumizi kila siku. Taasisi za kidini ndo kazi zake badala ya kugawa condoms. Binafsi kama umri ungerudishwa nyuma ningeoa nikiwa na 25yrs. Hii kusubiria kibunda kijae unakuja kupata shida kumpata mtu genuine. Ninawapongeza hiyo taasisi.
 
Huh!! Sasa kama hata mahari tu hawawezi kujilipia, wataishije?
 
Bora kuwafundisha ujazilia mali kwanza kisha waozeshwe au waozeshwe kisha wafundishwe ujasilia mali,kama kijana kashindwa kupata 500 au 1000 za kumpa mtarajiwa wake kama mahari akilipiwa kumrisha je ataweza ?
Mkuu hela huwa haitoshi. Unaweza poteza muda kwenye maisha yako yote na usitosheke. Kijana akimpata mtu sahihi basi hata hela itamfuata akiwa hukohuko kwenye ndoa. Halafu kuliko vijana wafanye uzinzi ni bora waoe. Hata biblia inaelekeza hivyo. Kwenye uzinzi kuna gharama kubwa kuliko kuoa.
 
kutukanwa mimi humu JF haikuanza leo , lakini Je jiulize wenzako walioanza kunitukana walipata faida gani ? nimeuliza swali la msingi sana , lakini kwa sababu ya akili yako ndogo ukaamua kunitukana ! Mimi huyu Kishki ni mtu nafahamiana naye , na ninafahamu uwezo wake kwamba anaweza kufanya zaidi ya hapo , kwamba badala ya kuwalipia mahali tu angeweza kuwawezesha hata kidogo kwenye masuala ya kimaisha , sasa hii haikuwa sababu ya wewe kuvunja sheria za jf na kutukana .

Ni aibu kwako na kwa Wazazi wako pia
Pole mkuu!

Umetumia hekima ya hali ya juu sana kumjibu nikupongeze kwa hilo,changamoto tuliyo nayo sasa mtaani ni kuwepo ombwe kubwa la vijana kutojitambua,huwezi kuwa na akili timamu au malezi bora ukatukana mtu hata usiyeweza kum-discribe muonekano wake,je kama ni baba'ako mdogo au mjomba?maana humu tunatumia fake IDs.
 
Ujanjaujanja Mwingi Sana,Huyu Alipewa Eneo Nulyakin Hakuna Lolote Anafanya
 
mkuu sijakutukana balinimekufahamisha kwani nimeona sehemu mbalimbali ukituhumiwa kwa hilo

wapi nimekutukana?
Wanawezaje kumtuhumu mtu wasiyemfahamu ? halafu hilo andiko lako linahusiana nini na post yangu ? hapa JF jitahidi sana kujibu hoja kwa hoja utabarikiwa sana
 
Wanawezaje kumtuhumu mtu wasiyemfahamu ? halafu hilo andiko lako linahusiana nini na post yangu ? hapa JF jitahidi sana kujibu hoja kwa hoja utabarikiwa sana
komradhi nafahamu ni maudhi makubwa.
siasa si uwadui na kuchafuana hili ndilo likanipa msukumo wa kukuuliza nilivyo kuona tuh
 
WAJINGA NDIO WALIWAO.

MTU UNALIPIWA MAHALI.
UTAWEZA KUMTUNZA MKE????

Ndio maana mmekazana kula usiku na mchana mnashinda na njaa.

Mfano mtoto AANZE KWENDA shule saa moja jioni Hadi saa kumi na moja alfajiri. Baada ya asubuhi saa moja Hadi saa kumi na moja.
ALAFU aje ASEME tumefunga shule.

NAWAONEA HURUMA SANA NYIE WAISLAMU.
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Mama na baba yako bila kufanya ngono ww ungezaliwa?
Au huyo mke uliye naye umemuoa ili umlishe anenepe ili uje umchinje ukamuuze kama ngombe buchani au?

Some time chuki humfanya mtu kuwa mpumbavu.
 
Sometimes muwe-positive mnatoa appreciation bila kujali utofauti wa mitizamo yenu ya kidini. Sio kila time niku-criticize tu hata kile kitu ambacho kinaoonekana kuwa na faida.

Swala la ndoa sio uzinifu mzee
Mtoa maoni alikuwa na hoja. Kuwafungisha watu ndoa ni kitu chenye faida? Hauoni idadi ya ndoa zinazovunjika kila siku hapa nchini? Kwa Dar peke yake ndoa 300 huvunjika kwa mwezi.

Mwanaume lazima apatiwe mtihani wa kutoa mahari na kugharamia harusi. Akishindwa hiyo ndoa itayumba tu.
 
Back
Top Bottom