Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Kwa hiyo kila mwanamke anaye olewa huwa anataka mahari ya msahafu?

Sasa mwanamke anayehitaji mahari inayomshinda mchumba wake huyu anawekwa kundi gani la kiislam??

Au alhikma inakwenda kutoa na mshahara kila mwezi kwa ajili ya wanandoa hao???
 
Habari njema lakini michango ya baadhi ya wadau ndio imenidhangaza kidogo.

Mleta mada amewasilisha vema kabisa kwa kusema hii ni fursa kwa vijana wenye mpango wa kuoa mwaka huu, hivyo ni kama booster kwao.

Halafu anakuja mtu analeta hoja ooh si wangewafundisha ujasiriamali, au ooh wataweza kweli kuhudumia hao wanawake.

Sasa aliekwambia kuwa vijana watakao lipiwa hizo mahali ni wale wasiokuwa na uwezo wa kuhudumia nani?
Halafu ajabu iko wapi kama mtu anauwezo wa kuoa lakini akatokea mtu akamplipia mahari, si atakuwa amempunguzia gharama.

Sasa ubaya uko wapi!?
kopites 25000q TAI DUME
Case closed!!
 
Shekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja.

Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu

Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah [emoji120]

Nb: haurusiwi kwa aneongeza mke wa pili,fursa hii kwa vijana wanao anza kuoa.
Mtu anayelipiwa mahari hapaswi kuoa, hana uwezo wa kuendesha ndoa

Vipi angeamua kulipia school fees Watoto wa Kiislam?

Wabillah Tawfiq,
 
Sasa mwanamke anayehitaji mahari inayomshinda mchumba wake huyu anawekwa kundi gani la kiislam??

Au alhikma inakwenda kutoa na mshahara kila mwezi kwa ajili ya wanandoa hao???
Tazito watz tuna ujuaji mwingi hivi mfano kijana anaingiza kipato cha 10,000 kwa siku akahitaji kuoa akatajiwa mahari ya 500,000Mfano akitokea mtu anahitaji kumlipia mahari kuna ubaya?
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Hiyo pesa ya kuhonga wanawake na kufanya hizo ngono wanaipata wapi? Acha mawazo mgando ujinga kichwani.Ndoa na iheshimiwe na kila mtu,wewe unajifanya unajua sana kumbe umeumbwa kutoka kwenye maji machafu yanayoitwa manii.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Sasa iweje washindwe mahari hadi watolewe?
 
Tazito watz tuna ujuaji mwingi hivi mfano kijana anaingiza kipato cha 10,000 kwa siku akahitaji kuoa akatajiwa mahari ya 500,000Mfano akitokea mtu anahitaji kumlipia mahari kuna ubaya?

Rejea swali la awali??laki 5 kaitaja binti au wajomba??

Yote kwa yote isijeonekana tunawaonea wivu hao waolewaji,kila la kheri ktk ndoa hiyo ya pamoja.
 
Chuki chuki chuki hazikunenepeshiii
Ana chuki sana anatamani Uislamu ufutike kwenye uso wa dunia.. hata kama anachukia jambo bora akae kimya ni kheir zaidi.. comments zake nyingi kuhusu Uislamu ni za chuki na karaha.. Tumuombe ALLAAH amuonyeshe haki aweze kuifuata
 
Hii ina utata kidogo ,mahari zinatofautiana ,wengine wanataka mahari laki 5 ,wengine milioni 1, milioni 5, milioni 10,50 nk. Wengine mahari wanataka ng'ombe 50,100 nk. Suala hilo sijui kama walilifikiria

Shekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja.

Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu

Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah 🙏

Nb: haurusiwi kwa aneongeza mke wa pili,fursa hii kwa vijana wanao anzawengine
 
Sijalipiza mi nimesema ukweli
Kwa hiyo umesema ukweli kuwa waislam wanapenda ngono kwahiyo ww hufanyagi ngono ili tujue kweli ww huwazagi ngono?

Au baba yako hakuwa muwaza ngono kwa hiyo mama yako alitobwa na waislam ndo ukazaliwa ww?

Au watoto alio nao hapo nyumbani walipatikana kwa mkeo kutombwa na waislam ndo akazaa hao unao waita watoto wako?
 
Tunaolipinga hili swala wengi wetu ndo tulisaidiwa na baba zetu mahari tukaoa au mahari walizotolewa dada zetu ndo tukapewa sisi baadae tukawalipie wake tulionao sasa. Je tumeshindwa kuwatunza wake zetu kisa ng'ombe 20 tuliopeleka ukweni kama mahari tulipewa na baba zetu tena ng'ombe wenyewe wakiwa walipatikana kwa dada zetu kuolewa? Umaskini wa vipato uliokithiri miongoni mwa waswahili wengi unapelekea tuwe negative kwa karibu kila kitu.
 
Rejea swali la awali??laki 5 kaitaja binti au wajomba??

Yote kwa yote isijeonekana tunawaonea wivu hao waolewaji,kila la kheri ktk ndoa hiyo ya pamoja.
Dini imempa binti haki ya kutaja kiasi chochote cha mahari anayo taka hata kama atataka billion kumi sasa chaguo litakuwa kwako muoaji ukiweza toa kama huwezi kula kona.
 
Back
Top Bottom