Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Kuoa ni upuuziHV Kwan wasijenge shule na mahosipitali Yao waachane na mambo ya kipuuzi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuoa ni upuuziHV Kwan wasijenge shule na mahosipitali Yao waachane na mambo ya kipuuzi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Zoezi la kulipia mahari halijaanza Leo Kuna waliolipiwa miaka mitano nyuma hadi leo wanahudumia familia zao..MosiMtu anayelipiwa mahari hapaswi kuoa, hana uwezo wa kuendesha ndoa
Vipi angeamua kulipia school fees Watoto wa Kiislam?
Wabillah Tawfiq,
Kuwaza chini ni jambo zuri na kufanya Mapenzi ni jambo zuri na swawabu unapata kwanini umeandika kuwaza chini kwa lugha Kama jambo baya you mean wewe ni rijari na huwazi chini una hisia za KISHOGA is that you ??Hawa wapumbavu wanawaza chini kuliko mambo mengine.
Kwanza Uislamu ni kwa Waarabu tu hawa wamatumbi wanalazimisha ndo maana kila siku wanaenda kupanga foleni kuomba mikate
Wanatoa kwanza elimu ya "kuchakata mbususu"Takbiir...........
Sijui ni lini nitawasikia wanazungumzia kuwaendeleza vijana kwenye Elimu dunia.......
Hiki ndicho kinachofanyika Sasa nashangaa wanakuja na akili zao nyengine sijui wanatoa wapi....Mzizi mzima ni kupata pesa ya pamoja mtihani kwa kijana ndicho kilichopo.Tazito watz tuna ujuaji mwingi hivi mfano kijana anaingiza kipato cha 10,000 kwa siku akahitaji kuoa akatajiwa mahari ya 500,000Mfano akitokea mtu anahitaji kumlipia mahari kuna ubaya?
Tulia muomba mikate na samakiWanatoa kwanza elimu ya "kuchakata mbususu"
Mahari hataji Binti Ni familia yake sikuzoteRejea swali la awali??laki 5 kaitaja binti au wajomba??
Yote kwa yote isijeonekana tunawaonea wivu hao waolewaji,kila la kheri ktk ndoa hiyo ya pamoja.
Mi nikafikiria kawalipia ada kumbe mahar. Sasa kijana akishindwa kulipa mahar anawezaje kumhudumia mkeShekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja.
Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu
Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah 🙏
Nb: haurusiwi kwa aneongeza mke wa pili,fursa hii kwa vijana wanao anza kuoa.
Mimi muislam aiss sijawai kusema vibaya ukristo na sitakuja kamwe najiepusha sana maana ukisema dini nyengine na wao wakirudisha kwa dini yako unapata dhambi Sasa mtu Kama huyu anakuwa na akili gani.Ana chuki sana anatamani Uislamu ufutike kwenye uso wa dunia.. hata kama anachukia jambo bora akae kimya ni kheir zaidi.. comments zake nyingi kuhusu Uislamu ni za chuki na karaha.. Tumuombe ALLAAH amuonyeshe haki aweze kuifuata
Sio mala ya kwanza kufanyika hivyo mitandao tu hii now days so Wana Experience ya kutoshaHii ina utata kidogo ,mahari zinatofautiana ,wengine wanataka mahari laki 5 ,wengine milioni 1, milioni 5, milioni 10,50 nk. Wengine mahari wanataka ng'ombe 50,100 nk. Suala hilo sijui kama walilifikiria
Na ndio maana tumefundishwa kuzichunga ndimi zetu! Watu wanatoleana maneno makali humu mtihani mtupu yaanMimi muislam aiss sijawai kusema vibaya ukristo na sitakuja kamwe najiepusha sana maana ukisema dini nyengine na wao wakirudisha kwa dini yako unapata dhambi Sasa mtu Kama huyu anakuwa na akili gani.
Tumia ubongo japo mzeeMi nikafikiria kawalipia ada kumbe mahar. Sasa kijana akishindwa kulipa mahar anawezaje kumhudumia mke
Wewe ni SHOGA??Hawa jamaa wanpenda sana mbususu..
We mbwa koko shoga ungekaa kimya mpuuzi weYaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?
Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Kuoa ni kushikana mikono na kuulizwa upo tayari kuoa....nipo tayari na uwanaume ni kuzaliwa wakiume na kumuingilia mwanamke.Unalipiwa mahari na unasema umeoa?
Idadi ya wanaume inapungua sana.
Ma mama yko
Nyie mbona mmelipiwa na baba zenu?Unalipiwa mahari na unasema umeoa?
Idadi ya wanaume inapungua sana.