Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Uzi mzuri tu wa kheri kwa mabachela kutafuta mweza wake Ila members wa humu mnatukanana bila sababu stupid,
Changieni mada kwa hoja ili sis wengine tujifunze inshallah
 
Mtu anayelipiwa mahari hapaswi kuoa, hana uwezo wa kuendesha ndoa

Vipi angeamua kulipia school fees Watoto wa Kiislam?

Wabillah Tawfiq,
Zoezi la kulipia mahari halijaanza Leo Kuna waliolipiwa miaka mitano nyuma hadi leo wanahudumia familia zao..Mosi

Pili shule ni shule ndoa ni ndoa kwanini panapohusika ndoa ulazimishe iwe mambo ya shule.
 
Hawa wapumbavu wanawaza chini kuliko mambo mengine.
Kwanza Uislamu ni kwa Waarabu tu hawa wamatumbi wanalazimisha ndo maana kila siku wanaenda kupanga foleni kuomba mikate
Kuwaza chini ni jambo zuri na kufanya Mapenzi ni jambo zuri na swawabu unapata kwanini umeandika kuwaza chini kwa lugha Kama jambo baya you mean wewe ni rijari na huwazi chini una hisia za KISHOGA is that you ??
 
Tazito watz tuna ujuaji mwingi hivi mfano kijana anaingiza kipato cha 10,000 kwa siku akahitaji kuoa akatajiwa mahari ya 500,000Mfano akitokea mtu anahitaji kumlipia mahari kuna ubaya?
Hiki ndicho kinachofanyika Sasa nashangaa wanakuja na akili zao nyengine sijui wanatoa wapi....Mzizi mzima ni kupata pesa ya pamoja mtihani kwa kijana ndicho kilichopo.
 
Rejea swali la awali??laki 5 kaitaja binti au wajomba??

Yote kwa yote isijeonekana tunawaonea wivu hao waolewaji,kila la kheri ktk ndoa hiyo ya pamoja.
Mahari hataji Binti Ni familia yake sikuzote
 
Unalipiwa mahari na unasema umeoa?

Idadi ya wanaume inapungua sana.
 
Shekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja.

Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu

Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah 🙏

Nb: haurusiwi kwa aneongeza mke wa pili,fursa hii kwa vijana wanao anza kuoa.
Mi nikafikiria kawalipia ada kumbe mahar. Sasa kijana akishindwa kulipa mahar anawezaje kumhudumia mke
 
Ana chuki sana anatamani Uislamu ufutike kwenye uso wa dunia.. hata kama anachukia jambo bora akae kimya ni kheir zaidi.. comments zake nyingi kuhusu Uislamu ni za chuki na karaha.. Tumuombe ALLAAH amuonyeshe haki aweze kuifuata
Mimi muislam aiss sijawai kusema vibaya ukristo na sitakuja kamwe najiepusha sana maana ukisema dini nyengine na wao wakirudisha kwa dini yako unapata dhambi Sasa mtu Kama huyu anakuwa na akili gani.
 
Hii ina utata kidogo ,mahari zinatofautiana ,wengine wanataka mahari laki 5 ,wengine milioni 1, milioni 5, milioni 10,50 nk. Wengine mahari wanataka ng'ombe 50,100 nk. Suala hilo sijui kama walilifikiria
Sio mala ya kwanza kufanyika hivyo mitandao tu hii now days so Wana Experience ya kutosha
 
Mimi muislam aiss sijawai kusema vibaya ukristo na sitakuja kamwe najiepusha sana maana ukisema dini nyengine na wao wakirudisha kwa dini yako unapata dhambi Sasa mtu Kama huyu anakuwa na akili gani.
Na ndio maana tumefundishwa kuzichunga ndimi zetu! Watu wanatoleana maneno makali humu mtihani mtupu yaan
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu.
Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
We mbwa koko shoga ungekaa kimya mpuuzi we
 
Back
Top Bottom