kutukanwa mimi humu JF haikuanza leo , lakini Je jiulize wenzako walioanza kunitukana walipata faida gani ? nimeuliza swali la msingi sana , lakini kwa sababu ya akili yako ndogo ukaamua kunitukana ! Mimi huyu Kishki ni mtu nafahamiana naye , na ninafahamu uwezo wake kwamba anaweza kufanya zaidi ya hapo , kwamba badala ya kuwalipia mahali tu angeweza kuwawezesha hata kidogo kwenye masuala ya kimaisha , sasa hii haikuwa sababu ya wewe kuvunja sheria za jf na kutukana .
Ni aibu kwako na kwa Wazazi wako pia