kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Nimekuelewa mkuu.Umeumbwa kufanya ibada katika chochote pima ni ibada, sahihi sio sahihi FULL STOP....Umwanaume na umwamba useless usiwe mwanaume kisa umelipiwa mahari YES SIO MWANAUME then what.
Maisha mafupi Sana kuendekeza vitu visivyo muhimu uwanaume ni "kuzaliwa mwanaume na kumuingilia mwanamke" hio ndio maana ya uwanaume after Happ jari aim ya kjwa Duniani....