Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
 
Kama utaitendea haki nafsi yako utakubaliana na mm kwamba mashoga wote wako pwani na visiwani kulikojaa waislaam.

Tafsiri yake ni kwamba ushoga na uislam Kuna uhusiano mkubwa sana
Kama kweli wewe ni mkweli taja nchi ambazo shoga akionekana anauwa nchi hizo wanaishi watu wa dini gani?
2 taja nchi ambazo mpazo ushoga umeharalishwa kufungisha ndoa za jinsia moja ni nchi gani na wanaishi watu wa dini gani?
3 taja viongozi wa dini wasio oa tena ambao kiongozi wao mkuu amekubali kuwa viongozi hao ni mashoga na kurawiti watoto ni vio ngozi wa dini gani?kama ujibu maswali haya basi wewe ni mkweli
 
Hii dini kwa matusi hamjambo. Hivi hii dini zaidi ya ngono na matusi mnajua nn kingine?
Sisi lazima tuoe sababu tunajua maana ya ndoa na utamu wa mke nyiyi uwa amuoi hata viongozi wenu mapadiri hawaoi kazi kuwaharibu watoto wa kiume ni kufanya ushoga hata wewe shahidi papa kazunguka dunia nzima akiomba msamaha kwa wazizi wa watoto walirawitiwa na mapadiri pia mapadiri wengi kuwa mashoga jamabo hilo sio siri ingia Google utaona hata mwezi jana papa kasema ushoga sio dhambi ndio maana nyiyi mnachukia vijana kulipiwa mahari hili wapate haki yao ya ndoa mlita wawe kama nyiyi hayo sio matusi ndio ukweli wenyewe
 
Saidianeni ktk mambo ya msingi kama kusaidia kulipia ada za shule na vyuo. Siyo kuegemea kwenye ngono. Ni ushauri tu huu
Muwe mnatembea kazi kuishi huko sumba wanga nenda temeke dar kaulize tasisi ya al hekima inajishughulisha na nini
 
Ckatai ila kwa hawa wanawake wa leo utangaze hadharan mumeo nilimlipia mahari heshima itakuwepo tena home mzee baba. Kwanini hawa kulipia halafu wakakaa kimya.
Akili zako ndogo kama pilitoni huko kwenu walezi na wazazi ujawai ona wakiwaozesha vijana wao au huna kwenu?au wewe ni kafiri unapinga ukweli?kwa sababu kafiri kazi yake kupinga kila analo fanya muisilamu hata liwe la kweli mfano kuozesha vijana sioni sababu ya kupinga sababu ni jambo la kawaida kwa kila kabila kwa kuwa limefanywa na sheikh tayali kafiri analipinga
 
Mimi siwezi kukubali kulipiwa au kuchangiwa Mahali hata shilingi 1.

Huyo wanamke wa Bure hivyo atakuwa sio mwanamke!!!!

WAISLAMU mnafeli sana
Sio mahali ni mahari. Kuandika neno la kawaida unashindwa ndiyo maana akili yako ndogo.
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu. Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Ndugu zako wanapokuchangia harusi wanakuchangia na Matunzo ya mke

Unataka kuoa kisa mahari ya Bure una akili timamu kweli???
 
Ukiona mtu anapinga hili kuwachangia mahari wanandoa

Atakuwa upinde wa mvua tuuu mwanaume huwezi kuuliza mahari nalipiwa Matunzo je kama sio upinde wa mvua nini
 
Hiyo ni offer tu wamepewa. Siyo kwamba hawana uwezo wa kulipa mahari.

Yaani ni sawa tu na mtu kukupa zawadi ya kitu fulani, ambacho hata wewe mwenyewe una uwezo wa kukinunua.
Kama milioni 5 za mama Samia kwa kila goli.
 
Akili zako ndogo kama pilitoni huko kwenu walezi na wazazi ujawai ona wakiwaozesha vijana wao au huna kwenu?au wewe ni kafiri unapinga ukweli?kwa sababu kafiri kazi yake kupinga kila analo fanya muisilamu hata liwe la kweli mfano kuozesha vijana sioni sababu ya kupinga sababu ni jambo la kawaida kwa kila kabila kwa kuwa limefanywa na sheikh tayali kafiri analipinga
Sheikh sisi hatutukan dini yetu imetufundisha upendo hilo la chuki ni kwenu. Mi hoja yangu ipo hapa. Kiutamaduni mzazi anaweza kulipia mahari ila kama mahari umelipiwa na taasisi na hawa wanawake wa kileo tulionao huko mbeleni walivyo. Swali la kujiuliza ni kwamba hawa jamaa walionekana mahtaji Yao ya muhimu sana ni mahari au. Hizo za kafiri cjui akili ndogo hizo ni zako. Akili inategemea na uwezo wako wa kuchanganua jambo gumu na kuja na jibu.sasa cjui hapo akili ndogo ni ipi kati yangu na yako.
 
Yaani hii dini inawaza ngono tu. Kama mtu hawezi jilipia mahari, ataweza mhudumia huyo mke?

Au ndo wanataka ongoza kwa kuachika na kutuletea singo madhaz mitaani?
Huyu ni miongoni mwa vijana waliokosa malezi bora kwa wazazi wao na ni miongoni mwa wanaoshaabikiwa na nchi za Magharibi za kuwa na faragha yao. Kwa kweli ni msiba kwa Taifa. Asamehewe, siyo yeye bali malezi.
 
Yaani sema Tu ni staha katika kuzungumza Ila kuna watu muda si mrefu tutaanza kashifiana tena kashfa zilizo kubwa kubwa ,
Haiwezekani MTU kaleta thread ambayo haiitaji mambo mengi zaidi ya kupongeza au kukaa kimya MTU unakashfu Imani ya mwenzio. Nasemaaje anayejiamini aendelee kutoa kashfa.
 
Back
Top Bottom