Sheikh Kishki yupo sahihi ila huyu Bwana Mdogo Shareef Firdaus ana nyota kubwa sana

Sheikh Kishki yupo sahihi ila huyu Bwana Mdogo Shareef Firdaus ana nyota kubwa sana

Unaongea as if kwamba Kil mtu anawafahamu hao wapuuzi wachache as pia kwamba jamaa hao ulio wataja wapo humu
 
ni bifu kutoka Upande ule usiotumia nyama pendwa ambayo mapishi yake yaliiasisiwa na kabila linalozunguka mlima kilimanjaro.Kunadogo nayeye kutoka huo upande wa wapinga nyama pendwa ameibuka na kuiga style za kuongezea thamani mafuta ya kupikia yanayolimwa kwa wingi mkoa wenye mabinti wasiojua kusema NO badala ya Lita 10,000 amepambana anauza kwa Bei anayotaka.Sasa wameibuka wenzake wa huohuo upande unaopiga marufuku nyama pendwa na wazee wa kuvaa viatu vya wazi ilhali wao wakituuzia timberland tutimbe nazo kwenye nyumba zetu za ibada..Baadhi Hawataki kabisa na Wameanza kumpinga huyo dogo anayeonekana kwenye media anaushawishi kwa wenzake wa kuwamwagia hayo mafuta na wanamkubali balaa si wazee wala vijana wala kina Mama huwaambii kitu kutoka huo upande wenye kuvaa nguo za kujigubika bila kujali Hali ya hewa na Inaonekana kijiwe kimemchanganyia.
Na jaribu kukuelewa ila unatak niende you tube nikapoteze bando langu bure
 
Back
Top Bottom