Sheikh Matimbwi hizo Tende za Msaada umezibinafsisha unakula wewe na familia yako tu. Huo ni Ukorofi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hili tatizo la ulafi litaisha lini? Tende zimetolewa msaada toka Uarabuni. Sisi hizi ndo zinatufanya tutembee tukisema tumefunga ili tuje zipata.

Wewe unakula tende na wake zako na watoto. Unanywea chai, unalia ugali. Si sawa. Hizo tende walitakiwa wapate watu wote. Zigawiwe msikitini hapo Mburahati. Maana nasikia hata waliopewa Tandale nako zimefanyiwa uhuni na Sheikh Mtopea anauza.

Hii si sawa. Tusipitilize please katika njaa zetu. Tukumbuke bila tende sisi kufunga kwetu hakuna maana na hatutafunga sasa. Watu wanaonesha upendo wanatupatia msaada wa tende unakula wewe na wake zako watatu na mitoto yako mivibaka?

Si sawa huo ni ukorofi. Kwa nini tende zote ule wewe? Ukorofi huo. Ndiyo ni ukorofi. Yaani sisi tule mitambi tu na uji wa pilipili. Nyie mle tende? Huo ni ukorofi. Bakwata mliangalie hili.
 
Hamuwezi kamwe kuwa na umuhimu kuzidi familia ya mwanaume, atatanguliza kwanza watoto na wake zake baada ya hapo ndio wengine mnafuata
 
Hizo tende si zitaota kichwani? Wanakula muda wote tende hawa mbwaz.
 
Kwa msaada asiyemjua huyo sheikh anaishi wap na anasalisha msikiti wap
 
Hili tatizo la ulafi litaisha lini? Tende zimetolewa msaada toka Uarabuni. Sisi hizi ndo zinatufanya tutembee tukisema tumefunga ili tuje zipata.

Wewe unakula tende na wake zako na watoto. Unanywea chai, unalia ugali. Si sawa. Hizo tende walitakiwa wapate watu wote. Zigawiwe msikitini hapo Mburahati. Maana nasikia hata waliopewa Tandale nako zimefanyiwa uhuni na Sheikh Mtopea anauza.

Hii si sawa. Tusipitilize please katika njaa zetu. Tukumbuke bila tende sisi kufunga kwetu hakuna maana na hatutafunga sasa. Watu wanaonesha upendo wanatupatia msaada wa tende unakula wewe na wake zako watatu na mitoto yako mivibaka?

Si sawa huo ni ukorofi. Kwa nini tende zote ule wewe? Ukorofi huo. Ndiyo ni ukorofi. Yaani sisi tule mitambi tu na uji wa pilipili. Nyie mle tende? Huo ni ukorofi. Bakwata mliangalie hili.
1000369810.jpg

Anakuzoom tu.
 
Hizo tende nimetoa mimi na kontena la makobazi. Nimebadilishana na bandari. Hakikisheni mnazigawa vizuri kila mtu apate.
 
Back
Top Bottom