Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

WE JAMAA UMELAANIWA, NAKUAPIA KWA KUMTUSI MAMA YANGU HUU MWAKA HAUUMALIZI UKIWA HAI, UNAKUFA.
Hifadhi maneno yako kwenye hansadi maana utatangulia wewe uliyetoa maneno ya kifedhuli Kwa kiongozi wa Dini ambayo hata huna mafungamano nayo
 
Mashehe ubwabwa utawajua tu..

#MaendeleoHayanaChama
 
Sheikh funza kichwani aache kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu.
MAJALIWA kama yeye ni muislam hamsa salawat na anafunga ramadhani na kuamini kitabu cha kuraan na mafundisho yake basi pale alipo Hana NDOA ndio maana shkh akamshauri aowe NDOA ya kiislamu co ya bomani.
 
Mtafuna Sadaka zetu anamshauri mtafuna Kodi zetu....shabash!tumekwama pahala.

Sintoshangaa nitakaposoma Frontpages za Magazeti zikisema "Posa ya Waziri Mkuu yatafunwa na Shehe Ubwabwa"
 
MAJALIWA kama yeye ni muislam hamsa salawat na anafunga ramadhani na kuamini kitabu cha kuraan na mafundisho yake basi pale alipo Hana NDOA ndio maana shkh akamshauri aowe NDOA ya kiislamu co ya bomani.
Unafik tu na kuhamasisha Udini. Kwanza ni dharau dhidi ya binadamu mwenzake. Kamkosea sana mke wa majaliwa. Huyo alieleta hicho kitabu chenyewe hajawahi kuwa na ndoa au mahusiano yaliyonyooka. 'mon man waarabu!???
 
Huyu sheikh ni wa ajabu sana wake wengi kwake ni sifa.basi aongeze yeye awe na wanawake kumi
 
Huyu sheikh nimekuwa nikimfuatilia anatia wasiwasi Sana mamlaka ya juu yake imchunguze , kwenye ishu kubwa Kama hiyo anaongelea masuala mtu binafsi ,badala hoja ya kusaidia jamii
Anyway
Kama ameishi naye tangu ujana akiwa na nguvu za ujanani mpaka leo amefanikiwa kuwa PM akiwa naye,
Umejuaje hamtoshelezi
 
Maombi ya kisenge amekosa vitu vya kuviombea Tz ambavyo vinagusa watu wengi?
 
MAJALIWA kama yeye ni muislam hamsa salawat na anafunga ramadhani na kuamini kitabu cha kuraan na mafundisho yake basi pale alipo Hana NDOA ndio maana shkh akamshauri aowe NDOA ya kiislamu co ya bomani.

Wewe ni muislam gani hujui kama mwanaume wa kiislam anaruhusiwa kuoa mkristo bila tatizo. Embu nenda kasome Suratul Maa’idah (5): 5,
 
Kwanini asimuombee dua ili ajenge hospitali au shule ili wengine nao wafaidi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…