Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake.

Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, leo Jumamosi Julai 2, 2022.
Huyu sheikh ni mfukunyuzi wa ndoa za watu.
Yeye kaoa wangapi?
Mtu wa kukaa mbali sana naye huyu.
 
Mbona wanamwalika mzinifu kwenye mimbari zao awahutubie.
Siasa mkuu ndio iliotufikisha hapo kiasi cha Mashekhe,Maaskofu,Wachungaji nk wanaongea hata yale ambayo hawayaamini katika dini zao
 
Ndoa ni makubaliano wao 2 miaka zaidi 30 sasa .....mnavuruga amani ndani nyumba PM
 
Wacha ubaguzi wa kidini bhana.. mbona wakristo wakioa waislamu hamsemi wanazini so waoe upya?!!!
Huo sio ubaguzi wa kidini na wala mimi sikusema amuache ila ukweli utabaki hivyo kwa Imani ya dini ya Kiislam na yeye mwenyewe kwa sababu anaamini kwenye Uislamu basi ni mzinifu
 
Waislamu ni watu wa hovyo sana imagine hilo jamaa kwakua lenyewe limevimbiwa na hela za CCM haoni mambo ya msingi ya kuwasemea wenzie anawaza kuongeza wigo wa ngono tu. Hii mijitu ni ya hovyo sana.
Mkuu tumekukosea nini mpaka unatutukana sote? Ina maana wewe ndugu unajiona ni mtu special sana kuliko wenzio?
 
MARY MAJALIWA SIYO MUISLAM, AACHE UPUMBAVU KWENYE NDOA ZA WATU HUYO FALA.
Ikiwa MAJALIWA ni muislam na anasali na kufunga ramadhani Sheikh mkuu wa dar hakukosea kwa sababu kwenye uislam hakuna NDOA baina ya muislam na mkristo wa naishi tu hao na kuzini ndio maana shkh akamshauri aowe.
 
MARY MAJALIWA SIYO MUISLAM, AACHE UPUMBAVU KWENYE NDOA ZA WATU HUYO FALA.
Majaliwa muislam, kwaiyo dini yake inamruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja,

Mke mmoja analeta stress tu,wakiwa wawili kidogo afadhali
 
Toa ushahid ,co unaongea kwa hisia we mla kitibaridi




Hata kawaida ukitaka ongeza mke lazma uombe ridhaa ya mke aliepo. Hapa huyu Sheikh mzinzi anashauri nini. Waislamu heshimuni haki za wanawake na wao ni binadamu pia. UISLAMU UNAONGOZA KUDHARAU WANAWAKE. ACHENI HUO USHETANI? POVU RUXAAA.
 
Back
Top Bottom