Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

Waislamu ni watu wa hovyo sana imagine hilo jamaa kwakua lenyewe limevimbiwa na hela za CCM haoni mambo ya msingi ya kuwasemea wenzie anawaza kuongeza wigo wa ngono tu. Hii mijitu ni ya hovyo sana.
We jamaa kwa hiyo huyo sheikh njaa ndio anawakilisha wauslamu wote mpaka umeamua kuwatusi wote.

Huyo shekhe mpenda bahasha za kaki kajisemea mwenyewe hajawakilisha waislamu hapo.
 
Huyu Sheikh ni mjinga wa mwisho. Yani aibu kwa waislamu. undahani Mke wa Majaliwa Kajisikiaje. Sheikh shetani wa hedi.
 
Hata kawaida ukitaka ongeza mke lazma uombe ridhaa ya mke aliepo. Hapa huyu Sheikh mzinzi anashauri nini. Waislamu heshimuni haki za wanawake na wao ni binadamu pia. UISLAMU UNAONGOZA KUDHARAU WANAWAKE. ACHENI HUO USHETANI? POVU RUXAAA.
 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake.

Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, leo Jumamosi Julai 2, 2022.
Huyu Sheikh dua yake haiwezi sikilizwa. Huyu alikuwa akiamtukuza sana jiwe. Imani yake haba saba
 
Kweli Dar kibwa eti mke wa kasimu anaitwa Marry. Pm is it okay?
 
Kweli Dar kibwa eti mke wa kasimu anaitwa Marry.
 
nawashangaa sana wanao mbeza shek,
moja ya jukumu la mashek na hata Wachungaji ni kuwahubiria neno la Mungu waumini wao, Shek katimiza jukumu lake sioni kosa lolote alilo lifanya, hajatukana wala hajatoa maoni yake bali ni kwa mijibu wa Imani yake na aliye lengwa ni muumini wake sasa sisi wengine tusio husika tunakerwa na nini?!!!
 
Back
Top Bottom