Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

MARY MAJALIWA SIYO MUISLAM, AACHE UPUMBAVU KWENYE NDOA ZA WATU HUYO FALA.
Anaeoa ni Marry au Kassim?halaf kwann unaita kuongeza mke ni Ufala?huoni unadhalilisha mafundisho ya dini za wengine?Half yy kuoa wala haitajii ruhusa ya mke kisheria,Hio ndo njia sahh ya kua muaminifu na sio michepuko
 
MARY MAJALIWA SIYO MUISLAM, AACHE UPUMBAVU KWENYE NDOA ZA WATU HUYO FALA.
Mkuu Wewe ndo Mary majaliwa? Namshauri Hon. Majaliwa aoe wanne kabisa Kama uislam unavyotaka.
Mke mmoja ni stress tu, nature ya waafrika ni ndoa za mitala hata wake kumi Kama unao uwezo, wazungu ndo wametuletea mambo ya mke mmoja
 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake.

Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, leo Jumamosi Julai 2, 2022.
Huyu kwa kufru hii dua zake zinadundà
 
Labda Mimi sijaelewa inamaana sheikh wa mkoa wa Dar amekua sheikh mkuu tangia lini ?
 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake.

Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, leo Jumamosi Julai 2, 2022.
Wanawaza ngono tu,
Shame on them.....
 
Hawa ma sheikhe wenu kila saa wanawaza ngono tu.
 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake.

Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam, leo Jumamosi Julai 2, 2022.
Duh!

Kama ni kweli, sheikh atakuwa amewasilisha ujumbe mzito sana kwa Waziri mkuu, ambao inafaa watu wauelewe maana yake ni nini!

Nchi hii kuna siku italipuka na watu wasijue kuna nini kinasababisha mlipuko. Haya mambo ya chini chini ni kichocheo tosha cha mlipuko.

Ujumbe alioutoa Sheikh kwenye hadhara ambayo haikuwa ya kidini ni uchochezi wa moja kwa moja wa ufarakano wa jamii.
 
Kuna demu anapigiwa chapuo.
Kama Majaliwa hataki kuoa wa pili aletwe kwangu ila awe anajambia mbali(eksozi)
 
Kuwa na adabu we nguchiro
Waislamu ni watu wa hovyo sana imagine hilo jamaa kwakua lenyewe limevimbiwa na hela za CCM haoni mambo ya msingi ya kuwasemea wenzie anawaza kuongeza wigo wa ngono tu. Hii mijitu ni ya hovyo sana.
 
Back
Top Bottom