Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atenguliwa

Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atenguliwa

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Baraza la Waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi Shekhe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka.

Sheikh.jpg

Juzi vyombo vya habari hapa nchini vilimnukuu akisema yeye hataki kuwa mufti wa Tanzania akionya kama kuna watu wanamshambulia wakidhani anataka madaraka hayo.

Pia kumekuwa na taarifa za kutukanisha BAKWATA kwa tabia yake ya kugombana na wanablog Mange Kimambi kwa muda mrefu

Nafasi yake inachukuliwa na shekhe Walid Alhad Omar

USSR

 
Back
Top Bottom